Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga

Status
Not open for further replies.
Sasa mpaka sasa mmefanya nini?
mpaka sasa wamejenga misikiti mingi tu mikubwa na kufungua vituo vya radio na tv na shule nyingi za kiislamu zinashika mkia tangu tupate uhuru. hizo tv ndio zinatoa elimu ya kuzulumiwa haki na wagalatia
 
mpaka sasa wamejenga misikiti mingi tu mikubwa na kufungua vituo vya radio na tv na shule nyingi za kiislamu zinashika mkia tangu tupate uhuru.
Misikiti wanajengewa Sheikh
 
Wataka kubisha hakua ktk nondo kwa kifungo cha maisha akajakupata msamaha WA RAIS MSTAARABU MWENYE UTU NA UBINADAM ALHAJ SHEIKH ALI HASSAN MWINYI???
wewe umri wako ulikuwepo wakati anakamatwa tukio hilo wengi wapo hai na kumbukumbu kibao endeleeni kudanganyana
 
Wazee wa TANU kuwapigania kupata kwa hali na Mali kupata Uhuru ni dogo hilo?
Una akili finyu sana wewe Ajuza

Nakuulizeni mpaka sasa mmefanya nini unanijibu kupitia wazee wa zamani walichofanya.
 
Hujajibu swali uliloulizwa,

Badala yake unauliza swali ambalo sijalihitaji.

Jibu swali uliloulizwa kisha tusonge mbele sheikh.

Waislam walikuwa wapi?
Jibu hilo ni jibu lako ukisema waislam walikuwa wapi wakati Bibi Titi anadhulumiwa nawe jibu watetez waki za binadamu wakowapi leo wakti UHURU WA HABAR UNANYIMWA WAKT WASEMA KWELI WANAPIGWA RISASI SAA NANE MCHANA WAKT WAANDISHI WANAPOTEA??
Wapo wapiii??
 
Mbio mbio video imebanduliwa na aliyeipandisha YouTube. Majanga.
 
Una Akili na kumbukumbu?

Mimi nimechangia mada yoyote kuhusu Bibi Titi Mohammed?

Nimekuulizeni enyi wafuasi wa Mudy

Wakati Nyerere akianzisha Mfumo Kristo, akiukandamiza Uislam....mlikuwa wapi mpaka leo hii mje kulialia hapa kama ilivyo desturi yenu?
 
Una akili finyu sana wewe Ajuza

Nakuulizeni mpaka sasa mmefanya nini unanijibu kupitia wazee wa zamani walichofanya.
Nimekujibu au hujalipenda jibu? kisha nimekuuliza swali. Jibu basi swali langu ili mjadala unoge badala ya kunikumbusha sifa njema ya uajuza wangu.
 
Umeisikiliza clipi?
 
Kwani mnataka nini hasa kwenye historia ya nchi hii?
Nadhani wanataka watambulike kama wapigania Uhuru japo waliopigania huo Uhuru ni Watanganyika (bila kujali dini).
 

Not even one second. Najua mambo haya mawili bila shaka hata chembe (na kwayo HAITATOKEA. NIKAWA MUISLAMU HATA SEKUNDE):
1. Mungu Jehovah SIO na hawezi kuwa Allah.
2. Yesu Kristo SIO na hawezi kuwa Isa

Unanikaribisha upotevuni?
 
Nimekujibu au hujalipenda jibu? kisha nimekuuliza swali. Jibu basi swali langu ili mjadala unoge badala ya kunikumbusha sifa njema ya uajuza wangu.
Nijibu upupu?

Akili inayowaza tu kutawadha na kuhifadhi udhu haiwezi kuwaza mambo makubwa

Wallah wabillah...!
 
Mkuu Dega, mijadala humu inaendeshwa kwa hoja, mleta mada kaleta hoja ya uongo, na kuleta mahojiano yenye uongo mwingi na ukweli kidogo, tukaonyesha urongo ulipo.

Sasa wewe katika hili la Bibi Titi, hoja yako ni ipi haswa?.
P
Mkuu Mayala ktk bandiko lako unapingana na mleta mada kwamba Hawkins ukweli wowote wa harakat za Siasa za Tangannyika kuongozwa na Waislamu
Hivyo nimeleta tukio la KIHISTORIA linalithibitisha ukweli huo kwamba

A) Walikuwemo
B) Walidhulumiwa aidha kutengwa baada Uhuru au kupandikiziwa kesi za ajabu ajabu ili kuwakomoa

Ndio nikareffer kwa BIBI TITI
 
Ameanza siku nyingi sana na vitabu anavichapisha vyenye Uzushi mtupu na udini.

Serikali imchukulie hatua.
Ukweli utabaki kuwa ukweli tuu jiulize kwa nini hacgukuliwi hatua mungeanza kwa MSIBA kwanza
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…