Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga

Status
Not open for further replies.
Mbona "quotation" yangu umeifuta na kuweka yako? Ndivyo ulivyofundishwa shule ya sheria au ndiyo kusomea ujinga kwenyewe huko?
 
Paskali naona bado na wewe hujaleta solution....

Cha ajabu na wewe umeleta data ku-favor Ukristo kua eti Wakristo ndio walikua waanzilishi na walikua wengi..

Cha ajabu na yeye ataleta data zake kutetea upande wake!

Nani mkweli zaidi ya mwenzake hatutaweza kujua kwa uhakika,japo wewe unasema kwako ndio kweli na yeye anasema kwake ndio kweli...

Hapa ni kila mmoja anataka kutuamisha upande wake ndio superior kwenye hii ishu.

Hivyo wote ni instigators tu!

Kwanini haya madini yenu mkayaachia makanisani na misikitini kwenu tu?

Hawa founders muwachukulie kama wanadamu who happened to have their personal religions which have nothing to do with the politics they were in!

Nyie wote mnaendeshwa na mapenzi binafsi ya dini zenu binafsi.

Na by the way mtu akiwa na jina linaloonekana la Kikristo au la Kiislamu haina udhibitisho kua he is indeed a Christian au Moslem..Jina tu sio udhibitisho!

Hivi wengine kama Wahindu,Wapagani,Wasio na Dini,etc walikua si waanzilishi wa taifa hili?

Naona ni vita ya dini mbili za kis3nge kama dini zingine ndio zinazogombaniwa humu!

Kwa faida ya nani hasa?
 
"A people without the knowledge of their past history, origin and culture is like a tree without roots." - Marcus Garvey
Mimi naona uislam na ukristo sio origin na culture yetu.
Hivi vitu vililetwa na wageni tu tena waliokuja kututesa na kutuuza kama ng'ombe.

Marcus alikuwa anataka watu weusi waijue historia yao na kuithamini ambayo ilikuwa haithaminishi dini za watawala wetu kuliko tamaduni zetu.
 
CHIZI WEWEEE HUELEWEKI
 
Mkuu dada yangu FaizaFoxy,lengo hasa la kuleta hiyo clip ni nini? Akili,busara,werevu na shule yako haviendani kabisa na huu upuuzi ulioanzisha. This is too low for you.
Kama unaona ni ajabu yeye kuleta uzi kama huu hapa JF, basi pengine humjui kabisa alivyo..mfuatilie vizuri
 
Dini ipi ni ya kweli ukristo au uislamu ?!

Mm naona dini ya kweli ni matendo mema !
Mbona upo nje ya mada kabisa? Fungulia uzi hayo maswali yako utakuja kujibiwa.

Naona historia hii kwako ni kama mwiba kooni, unajitahidi kila njia uutowe lakini umekukaa tu.
 
Wataka kubisha hakua ktk nondo kwa kifungo cha maisha akajakupata msamaha WA RAIS MSTAARABU MWENYE UTU NA UBINADAM ALHAJ SHEIKH ALI HASSAN MWINYI???

Wamekuambia alifungwa peke yake, mbona wakristo waliofungwa nae hamuwataji.
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli tuu jiulize kwa nini hacgukuliwi hatua mungeanza kwa MSIBA kwanza
Hacgukuliwi - Hachukuliwi

Msiba - Musiba

Hujajibu maswali yangu Sheikh

Halafu huko Madrassat hamfundishwi kuandika vizuri?
 
Mkuu dada yangu FaizaFoxy,lengo hasa la kuleta hiyo clip ni nini? Akili,busara,werevu na shule yako haviendani kabisa na huu upuuzi ulioanzisha. This is too low for you.
Historia ya uhuru wa nchi yetu. Wewe hupendi kufahamu historia ya nchi hii?

Halafu soma vizuri chini ya video clip kuna maelezo yangu pale.
 
Kama unaona ni ajabu yeye kuleta uzi kama huu hapa JF, basi pengine humjui kabisa alivyo..mfuatilie vizuri
mwambieni alete tu hizi story Nchi hii yetu wote. Aktaka elimu atapata elimu aki chambia mgomba ataondoka na mavi huyo faiza
 
CHIZI WEWEEE HUELEWEKI
Asiyeeleweka ni Mtume wako Mudy wa Mecca

Yaani alikiri hajui kusoma wala kuandika ila akawaasa mumuamini na kuamini kitabu chake alichodondoshwewa puu...!!
 
Hacgukuliwi - Hachukuliwi

Msiba - Musiba

Hujajibu maswali yangu Sheikh

Halafu huko Madrassat hamfundishwi kuandika vizuri?
Kuanza kuangalia makosa ya kiuandishi nikuthibitisha AKILI IMEFIKIA KIKOMO CHA KUFIKIRI TWENDE KWENE CONTENT
 
Teh ...

wewe ni mjinga na mpumbavu ...

Badilika ...
 
Kuanza kuangalia makosa ya kiuandishi nikuthibitisha AKILI IMEFIKIA KIKOMO CHA KUFIKIRI TWENDE KWENE CONTENT
Sikuelewi sasa Sheikh

KWENE ndio nini?
 
WEWE NA FAMILIA NZIA HAMUELEWEKI PMJ NA YESU WAKO MUIGIZAJI FILAMU WA KIENGEREZA ULOWEKA PICHA YAKE KANISANI
NGURUWE PORI WW NA FAMILIA YAKO
Asiyeeleweka ni Mtume wako Mudy wa Mecca

Yaani alikiri hajui kusoma wala kuandika ila akawaasa mumuamini na kuamini kitabu chake alichodondoshwewa puu...!!
 
Mkuu Pasikali umeeleza vizuri, ingawa nadhani haikuwa na haja ya kuweka hizo asilimia, maana ni kama tena umekubali kucheza huu mziki wao.

Huyu Bw Said ni Mpotoshaji wa historia kwa malengo anayoyajua mwenyewe.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…