Mohammed Dewji: Mchakato wa mabadiliko Simba umekamilika, aweka bilioni 20

Mikia mmeibiwa, mnachekelea......yaani Simba inathamani ndogo kiasi hicho? Yaani 20B kwa maisha yote? Kumbukeni siyo miaka kadhaa, anywei ngoja tuwaache Mwamedi fc
Mikia mmeibiwa, mnachekelea......yaani Simba inathamani ndogo kiasi hicho? Yaani 20B kwa maisha yote? Kumbukeni siyo miaka kadhaa, anywei ngoja tuwaache Mwamedi fc
Simba hatuna akili za kinyani kama wewe, hata wa drsa la saba anaelewa, kua B 20 ni thamani ya hisa 49% na thamani ya simba ni uchukue B20 ujumlishe Zitakazo patikana kwenye hisa 51% zilizobaki. Acha ujinga
 
Waliosaini mkataba mwanzo ndio waliingizwa chaka, lakini pia tukumbuke naye ni sehemu ya kuipandisha thamani ya klabu kwa mafanikio Simba SC iliyoyapata hasa klabu bingwa Afrika kulingana na uwekezaji wake alioufanya, ashukuriwe pia.
Yaani kuna kitu nasikitika ni kama either mnafanya kupotosha au kutokujua, thamani ya simba sio B20. Bilioni ishirini ni thamani ya hisa 49. Ko kujua thamani simba unatakiwa ujue hisa 51% ni tsh ngapi. Tusifanye propaganda nyepesi
 
Naona Manara nae kapewa dongo lake.Sasa hizo bil 21.8 aliyo itoa kwa miaka minne, kaikata humo humo kwenye bil 20 alizotoa leo, kimahesabu MO anaidai Simba au......... tufafanulieni kidogo.
 
Yaani kuna kitu nasikitika ni kama either mnafanya kupotosha au kutokujua, thamani ya simba sio B20. Bilioni ishirini ni thamani ya hisa 49. Ko kujua thamani simba unatakiwa ujue hisa 51% ni tsh ngapi. Tusifanye propaganda nyepesi
Shule za wanaowasikiliza ndio shida,wanakunywa wrong information
 
Big up Mo, amesema hatuwezi dhaminiwa sawa na wenzetu Utopolo, anaetaka kuidhamini Simba lazima aweke dau kubwa zaidi kama watashindwa basi yeye ataongeza hela
Asante sana boss Mo.
 
Wabongo mdomo mwingi mbele giza,mwambie akanunie 51%
Hawa uto huwa hawakosi kisingizio.... Wanaamini GSM wa aweka pesa nyingi kuliko Mo. Haya mo katumia 21.4 billion kwa miaka 4. Hao gsm waseme walizot
Wabongo mdomo mwingi mbele giza,mwambie akanunie 51%
Wamuulize GSM kwao kashatumia ngapi na ameingiza ngapi
 
Reactions: mmh
Yaani kuna kitu nasikitika ni kama either mnafanya kupotosha au kutokujua, thamani ya simba sio B20. Bilioni ishirini ni thamani ya hisa 49. Ko kujua thamani simba unatakiwa ujue hisa 51% ni tsh ngapi. Tusifanye propaganda nyepesi
hESABU NYEPESI HAPO NI KAMA 43B
 
Hawa uto huwa hawakosi kisingizio.... Wanaamini GSM wa aweka pesa nyingi kuliko Mo. Haya mo katumia 21.4 billion kwa miaka 4. Hao gsm waseme walizot

Wamuulize GSM kwao kashatumia ngapi na ameingiza ngapi

UTO HAWAJAUZA TIMU MKUU
 
Kumekucha!! Kwa hiyo Manara ndio alikuwa kikwazo kwa Mwamedy kutoa hizo 20Bl
 
Aweke hela maana tayari matunda tunayaona
Jiongezeni nyie Mbumbumbu,kama katumia 21Bl kwa miaka 4,je hizo 20Bl atatumia kwa miaka mingapi,then baada ya hapo itakuwaje. Na pia mbona hatoi Balance Sheet kwa hizo 21Bl jinsi zilivyotumika ikiwemo faida na hasara plus madeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…