SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Sunk cost fallacy ni Mhindi?Mhindi awe na huruma na wewe? sahau
au? Sijaelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sunk cost fallacy ni Mhindi?Mhindi awe na huruma na wewe? sahau
Nchi gani kubwa hizo zinazopata taabu na suala la mafuta?
Na nini hasa maana ya "nchi kubwa" na "nchi ndogo?" na uhusiano wake na hiki tunachojadili hapa?
Kuna nchi kama Luxembourg, Israel, Quatar, Austria nk ni nchi dogo sana lakini ni nchi zenye chumi imara na nchi zenye maisha nafuu sana kwa wananchi wao..!
Na kwa taarifa yako mambo haya hayako hivyo unavyofikiri..
Haya mambo ya uendeshaji wa uchumi wa nchi kwa manufaa nafuu ya maisha kwa wananchi ni suala la SERA na MIPANGO BORA..
Huwezi kuwa na mipango na sera bora bila kuwa na MFUMO BORA wa UTAWALA unaozalisha VIONGOZI BORA wenye kutumia bongo zao vizuri na wasio WABINAFSI (Selfish)..
Tatizo la nchi yetu ya Tanzania wala hata haliko huko unakofikiri wewe..
Tatizo liko kwenye ubinafsi wa viongozi wetu. Na viongozi hawa hutumia matatizo kama haya kujinufaisha kisiasa kwa gharama ya wananchi..!!
Matapeli na waongo ni wahindiSunk cost fallacy ni Mhindi?
au? Sijaelewa
Amezunguka kote lakini mzizi wa fitina kwa tatizo la bei hapa nchini ni kodi.Shabiby atoa mwarobaini kupanda bei mafuta
MBUNGE wa Gairo Mohammed Shabib ameitaka Serikali kuruhusu kampuni binafsi kuagiza mafuta wenyewe bila kutumia uagizaji wa pamoja.
Shabiby ametoa ushauri huo leo Jumatano tarehe 6 2022 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Amesema mfumo wa uagizaji wa pamoja unafanya kutokuwepo kwa ushindani wa bei na hivyo bei inapopanda kwenye soko ambalo mafuta yanaagizwa kunakuwa hakuna mbadala.
“Leo hii mkiruhusu kampuni binafsi ziagize mafuta na kama mtu anaona kuna unafuu kwenye uagizaji wa pamoja afanye hivyo na kama ataona haina unafuu alete yeye,” amesema.
Ameongeza kuwa zimekuwa zikitolewa hoja za upotoshaji kwamba uagizaji wa mtu mmoja mmoja unasabisha ukwepaji wa ushuru.
“Meli zote zinashusha kwenye mita wanakwepaje ushuru? Hii kazi waachieni TRA utasikia TRA wanakula dili lakini ukiangalia tangu huu mfumo wa uagizaji wa pamoja mita imekufa mara nyingi kuliko kipindi cha uagizaji binafsi,” amesema.
“Naombeni sana turuhusu hayo na bei ya mafuta itashuka kuliko tulivyotarajia na wala tusidanganyane watu kwamba Serikali inaweza kutoa kodi kwenye mafuta, haiwezekani kodi ndiyo inayolipa mishahara na kununua madawa,” amesema Shabiby.
View attachment 2178669
Hao mapapa Ni kina Nani?Kwa sababu umesema watu wote Tz ni wezi tu ! Basi ni bora wale wadokozi kuliko wale mapapa ya wizi !! Maana hayo mapapa ndio yanaidumaza Nchi !!
LAKINI PIA HUWA HAWATOSHEKI NA PESA WANAZOZIPATA KILA SIKU MPAKA ANAINGIA KABURINI !! that's it !!!kama nchi mkitaka mafanikio ni lazma muwe na kiongozi mwenye mafanikio hasa kibiashara. Hamuwezi kukurupuka tu mkamkabidhi nchi mchunga ng'ombe ....!!!!.😂😂😂😂😂 . Katika watu wanapitia changamoto na visiki vingi basi ni wafanyabiashara . Muda wote anaumiza kichwa.
Umesema watu wote ni wezi ! Ndio maana nikasema lakini kuna unafuu kati ya wezi wakubwa na wezi wadogo au wadokozi dokozi !!Hao mapapa Ni kina Nani?
Weka ushahidi hapa mahakamani ya umma tuamue. Maana tulishawahi kuambiwa Lowassa Ni FISADI papa duniani Hakuna lakini sasa hivi tunaambiwa baba was watu Hana hatia.
Na hao wezi wadogo wadogo wanaiba kidogo kwenye kikubwa au wanaiba kidogo kwasababu ndicho walicho nacho?
Duh !Dili lishafanywa na Mh. na watu wa Tottaly kisha dalali dubai, ndimo humo shabiby anaingia.
HakikaSababu sio waathirika ni ngumu kuelewa.
Nimeshajibu hapo awali kwamba mara nyingi watu wenye fikra za kijamaa huwa Wana akili finyu Sana na Wanaongozwa kwa mihemko..
Kama ulimsoma Shabiby ameelezea historia ya hadi kuamua kuanzisha bulk procurement kwamba kuna wafanyabiashara walitaka kumuondoa mmja wa wafanyabiashara wenzao kwenye soko kwa sababu alikuwa anauza mafuta Kwa bei ya chini kuliko wao kwa hiyo wakafanya mgomo kwa kisingizio kwamba Bei ya kilimo waliyowekewa na Ewura haiwalipi kwa sababu ewura wali gauge bei kwa kufuata anachouza huyo mwenzao..
Sasa Ili kujilinda wakafanya walichofanyia ndio ukaja mswaada wa bulk procurement..
Point yangu inabakia pale pale,ku deal na changamoto za free market economy ni nafuu kuliko kuleta control economy.Kwa Sababu since then hakuna unafuu uliopatikana kwa wananchi zaidi ya kulinda kundi la wanufaika na bulk procurement system..
Serikali itenge bajeti kubwa ya kujenga storage facilities kwa ajili ya mafuta ya reserves Ili pindi ikitokea scenario ya wafanyabiashara ku collude na kulazimisha bei iingize mafuta yake kwenye mzunguko wakati inatatua changamoto itakayokuwa imejitokeza..
Kwa hali ya sasa ya dunia haitasaidia chochote.
Angalia kwanza unayeshindana naye LEO huko kwa wenye mafuta.
Shabiby amekariri!
Inaanze kufanya inavyotaka wakati yenyewe ni msajiliwa tuu ndani ya Nchi?Kadanganywe wewe. Alliance ya India iliyo nunua Gapco na kampuni nyengine ilikuwa inaua ushindani wa soko. Hilo la kuuza bei nafuu ilikuwa geresha tu ikishamonopolize soko ianze kufanya inavyotaka. Kwa wenye akili kubwa serikali ilifanya bulk procument kama silaha ya kuwawahi hao maponjolo na nia yao ovu.
Inaanze kufanya inavyotaka wakati yenyewe ni msajiliwa tuu ndani ya Nchi?
Kwani sheria za ku monitor monopoly hazipo? Acha kukariri desa tuu.
Haujadhiboti kwa sababu wao ndio hao hao wanaonunua mafuta na kupanga bei kwa kuwahonga ewura kwa hiyo hakuna udhibiti,ewura hapango bei mpaka wakubaliane nao.Anayesimamia bulk procument ya mafuta ni nani? Hakutumia sheria zilizopo kuanzisha huo utaratibu. Huu utaratibu haukuwadhibiti hao mapochonjoli??
Well articulated...... hao wahuni watatengeneza cartel; wata-collude kuwaumiza wananchi. Sidhani kama huo ushauri una msaada wowote maana siku za nyuma ilikuwa hivyo "wakashindikana" ndipo serikali ikaja na wazo la bulk procurement kujaribu kuondoa tatizo. Asitake kuturudisha kule.