babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Kwa maelezo yake, kuna kampuni moja kubwa ya India iliwekeza miaka hiyo hapa. Ikashusha bei ya mafuta kwa zaidi ya shilingi 400 kwa kila lita.... hao wahuni watatengeneza cartel; wata-collude kuwaumiza wananchi. Sidhani kama huo ushauri una msaada wowote maana siku za nyuma ilikuwa hivyo "wakashindikana" ndipo serikali ikaja na wazo la bulk procurement kujaribu kuondoa tatizo. Asitake kuturudisha kule.
Wafanya biashara wa kizungu wakaja juu kwa kushirikiana na baadhi ya wabunge(ccm/wapinzani) wakaja na ushauri wa makampuni hayo kusimamisha usambazaji kwa muda. Na wao wakaanza kuibana serekali bungeni. Ndipo wakaja na uagizaji wa pamoja ili kuzuia mtu kushusha being.
Matokeo yake, yule muhindi akashindwa ushindani akawauzia hao wazungu kampuni yake.
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app