Mohammed Shabiby: Namna ya kupunguza bei za mafuta kwa 50% ya bei za sasa

 
Amezunguka kote lakini mzizi wa fitina kwa tatizo la bei hapa nchini ni kodi.

Kaongea flow meter kufa na blabla nyingi. Kwani wakiagiza mmojammoja meter hazitaacha kufanya kazi? Kuna sehemu hawa wamebanwa na serikali shikilieni hapohapo lazima waagize pamoja
 
Kwa sababu umesema watu wote Tz ni wezi tu ! Basi ni bora wale wadokozi kuliko wale mapapa ya wizi !! Maana hayo mapapa ndio yanaidumaza Nchi !!
Hao mapapa Ni kina Nani?

Weka ushahidi hapa mahakamani ya umma tuamue. Maana tulishawahi kuambiwa Lowassa Ni FISADI papa duniani Hakuna lakini sasa hivi tunaambiwa baba was watu Hana hatia.

Na hao wezi wadogo wadogo wanaiba kidogo kwenye kikubwa au wanaiba kidogo kwasababu ndicho walicho nacho?
 
LAKINI PIA HUWA HAWATOSHEKI NA PESA WANAZOZIPATA KILA SIKU MPAKA ANAINGIA KABURINI !! that's it !!!
 
Dili lishafanywa na Mh. na watu wa Tottaly kisha dalali dubai, ndimo humo shabiby anaingia.
 
Umesema watu wote ni wezi ! Ndio maana nikasema lakini kuna unafuu kati ya wezi wakubwa na wezi wadogo au wadokozi dokozi !!
 

Kadanganywe wewe. Alliance ya India iliyo nunua Gapco na kampuni nyengine ilikuwa inaua ushindani wa soko. Hilo la kuuza bei nafuu ilikuwa geresha tu ikishamonopolize soko ianze kufanya inavyotaka. Kwa wenye akili kubwa serikali ilifanya bulk procument kama silaha ya kuwawahi hao maponjolo na nia yao ovu.
 
Inaanze kufanya inavyotaka wakati yenyewe ni msajiliwa tuu ndani ya Nchi?

Kwani sheria za ku monitor monopoly hazipo? Acha kukariri desa tuu.
 
Inaanze kufanya inavyotaka wakati yenyewe ni msajiliwa tuu ndani ya Nchi?

Kwani sheria za ku monitor monopoly hazipo? Acha kukariri desa tuu.

Anayesimamia bulk procument ya mafuta ni nani? Hakutumia sheria zilizopo kuanzisha huo utaratibu. Huu utaratibu haukuwadhibiti hao mapochonjoli??
 
Hii ikiruhusiwa itaangukia kwenye shida ambayo wenzetu Kenya wanaipitia hivi sasa. Wenzetu wana uhaba mkubwa sana wa mafuta. Pia uchakachuaji wa mafuta utarudi tena..... Hii hoja ina mashaka sana..... Wapigaji wapo kazini...
 
Anayesimamia bulk procument ya mafuta ni nani? Hakutumia sheria zilizopo kuanzisha huo utaratibu. Huu utaratibu haukuwadhibiti hao mapochonjoli??
Haujadhiboti kwa sababu wao ndio hao hao wanaonunua mafuta na kupanga bei kwa kuwahonga ewura kwa hiyo hakuna udhibiti,ewura hapango bei mpaka wakubaliane nao.
 
Dunia ishajambishwa..... Ndio tuwaheshimu OPEC...... Sio eti tunahamia kwenye EV ndio tdharau Petroleum.....
 
Well articulated...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…