Mohammed Shabiby: Namna ya kupunguza bei za mafuta kwa 50% ya bei za sasa

Matrekta ya "URSUS" yanatoka Poland. Dili lake lilisukwa tangu enzi za waziri mmoja wa kilimo anaefanana na Tyson. Nchi hii ni kama shamba la bibi, Kila awamu inakuja na upigaji wake.
Hizo trekta ni kituko. wakati nafanya tafiti ya kununua trekta. Muuzaji wa Ursus alinishauri nisinunue hizo trekta 🤣🤣🤣
 
Ni sahihi, Serikali iagize mafuta kwa ajili ya reserves ya tahadhari tuu,ndivyo Nchi nyingi zinafanya .
 
Tatizo biashara ya mafuta inashikiliwa na wanasiasa walafi ambao ndio wanaotoa maamuzi kwa maslahi yao binafsi. Kuna haja ya kufanya mapinduzi ya kuokoa nchi kutoka mikononi manyang'au yalinayohodhi madaraka
 
Mda huo EWURA wanafanya Kazi gani? Swala la msingi ni kwamba kabla ya bulk procurement ndivyo ilivyokuwa ila baada ya kuanza uagizaji wa pamoja hakuna unafuu umepatikana.

Sasa tunarudi kule kule kwamba ni afadhari changamoto za free competition ni bora kuliko za udhibiti kwa hiyo ni bora turuhuru ushindani afu EWURA wafanye Kazi ya udhibiti tuu.
 
Hizo trekta ni kituko. wakati nafanya tafiti ya kununua trekta. Muuzaji wa Ursus alinishauri nisinunue hizo trekta 🤣🤣🤣
Inashangaza sana .... Hivi Nyumbu wakiwezeshwa si wanaweza kutengeneza trekta bora la kitanzania?.. Tatizo ni ubinafsi huko Serikalini, Matrekta aina hiyo hata huko yanakotoka wanayauza kwa kulazimisha... Hayana Soko!.
 
very sensible.
P
Siku zote sheria za protectionism huwa zinaharibu Sana uchumi na haya yote yalitungwa enzi za mwendazake,Dunia hii imebadilika tuache soko lipange bei.

Ona sasa hayo ya matreka unawapa watu wa serikali wanafanya wizi wakati unge float tender na kutoa specifications wafanyabiashara wenyewe wangeleta vitu Bora..
 
Kuna muda huwa una akili sawasawa halafu kuna muda ukitanguliza chama chako dish huwa linacheza
 
Kuna watu wana connection mzee, wanaweza wakawa wananunua wese kwenye 'masoko yao ya connection'
Ndio ukweli huu ila hi ya Sasa tender ni za kujuana watu wanapiga dili,hu upumbavu ukome..

Shabiby ndio aliibua hata ufisadi wa kampuni za kina Kalemani na Mwendazake wakati wanalipwa mabilioni kila mwezi eti kuweka pigment kwenye mafuta, serikali ikafuta na TBS wanafanya hiyo Kazi.
 
Kuna muda huwa una akili sawasawa halafu kuna muda ukitanguliza chama chako dish huwa linacheza
Acha utoto wewe,mimi sio mwana ccm bali shabiki wa Samia na watu wote wanaoamini kwenye sera za Uchumi huria..

Sikuwa nakubaliana na Mwendazake kwa sababu za ujamaa wake ,sera za ujamaa zimefeli miaka mingi sana huwezi apply miaka hii..

Ku mitigate -ve side effects za free market economy ni nafuu kuliko athari zinazoletwa na sera za protectionism..

Shida ya ujamaa ni ku base kwenye feelings kuliko facts,ndio maana serikali zote za kijamaa zinaongoza kwa propaganda na matumizi ya nguvu zaidi kuliko akili..

Serikali futilia mbali huo upuuzi wa bulk procurement.
 
Bulk procurement faida yake ninayoiona ni control ya kodi.

Ila faida ya kuacha watu waagize wenyewe ni ushindani wa bei hapa ananufaika mlaji wa mwisho.

Sasa ni jambo la kuchagua kati ya hayo mawili.

Kodi kwa serikali au faida ya soko huria.
 
Kama ulimsikia Bashe juzi alikuja na wazo zuri,kuliko kufuta Kodi kwenye mbolea serikali itapoteza mapato lakini pia kuweka ruzuku kwenye bei ni mzigo mkubwa kwa serikali ndio maana ushauri wake una make sense kwamba Serikali itoe pesa ya guarantee Ili wafanyabiashara waingize mbolea na kuuza Kwa bei nafuu,,mzigo ni mdogo kuliko wachumi wenye itikadi za kijamaa wanavyotaka kufanya.
 
Lengo ilikuwa ndio hilo kuruhusu mafisadi yashike kila uhai wa uchumi wetu
Hizo sheria zenu za kipuuzi ziliwekwa kipindi cha Mwendazake..

Hata kesi ya Barrick ni hivyo hivyo,kulikuwa hakuna sababu za msingi za kuzuia kusafirisha makinikia wakati serikali ingefanya tuu majadiliano na investors na muafaka ungefikiwa..

Shida watu wengi Wanaojiita wasomi hawana akili kwa hiyo tulipoteza mapato mengi na pia makinikia yakaendelea kuuzwa kama zamani.
 

Shabiby kanena kama wengine, hatuna viongozi. Tuna wezi.

Bei za Mafuta zinakoshuka watawala wao siyo wezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…