MOI: Mwanaume aliyegongwa na Basi la Mwendokasi yuko ICU

Umeliona la mwendokasi ila haujaliona la mwenye rav4.
Kama sheria ingekuwapo kwenye BARABARA ya mwendo kasi inayo elekeza SPEED ya eneo husika lazima DEREVA wa DART angelifata sababu asingeweza kuupuza kama MADERVA wa usafiri mwingine na IMPACT YAKE isinge kuwa kubwa kama ilivyo kuwa kama BUS LA MWENDO KASI linge kuwa linakwenda 20MPH impact ingekuwa kidogo sana.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Taasisi ya tiba ya mifupa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MOI) imesema Mwanaume aliyeonekana akigongwa na Basi la abiria “mwendokasi” Jijini Dar es salaam jana, amelazwa Hospitalini hapo kwenye chumba cha Uangalizi Maalum (ICU)...
Hii nchi waongo sana, huyo hawezi pona,
 
Kama sheria ingekuwapo kwenye BARABARA ya mwendo kasi inayo elekeza SPEED ya eneo husika lazima DEREVA wa DART angelifata sababu asingeweza kuupuza kama MADERVA wa usafiri mwingine na IMPACT YAKE isinge kuwa kubwa kama ilivyo kuwa kama BUS LA MWENDO KASI linge kuwa linakwenda 20MPH impact ingekuwa kidogo sana.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
Seriously unataka bus liende 20kph! Unaijua 20kph lakini? Wewe kama dereva unaweza kuendesha 20kph? Kwani hilo bus la mwendokasi lilikuwa speed kubwa ngapi? Mimi namshangaa tu huyo dereva wa mwendokasi kuhatarisha maisha ya watu wengi kwasababu ya mpuuzi mmoja. Angemburuza tu kwenye njia yake bila kukwepa tusingepata usumbufu huu.
 
Yah naifahamu vizuri na ni DEREVA niliye qualified HDV LICENCE najua nacho kisema narudi tena MABUS YA MWENDO KASI kama wahusika wapo humu lazima iwekwe sheria ya mwendo katika sehemu za MJINI kwenye makutano ya barabara.

Nafikiri ni mshtuko ndio ulimfanya ashindwe kufanya maamuzi sahihi ya haraka.
 
Yah naifahamu vizuri na ni DEREVA niliye qualified HDV LICENCE najua nacho kisema narudi tena MABUS YA MWENDO KASI kama wahusika wapo humu lazima iwekwe sheria ya mwendo katika sehemu za MJINI kwenye makutano ya barabara.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
Wewe unafikiri chanzo cha ile ajali ni mwendo wa bus au yule alieamua kupita makutano bila kusimama/kuangalia wakati analazimika kusimama hapo kupisha hayo mabasi?
 
Sababu ni gari ndogo imeingia bila kuangalia kila mtu anajua hilo lkn haliondoi sababu mamlaka husika kuweka sheria za BARABARANI ....... sheria za BARABARANI huwekwa kunguza AJALI na ATHARI zinazo weza kutokea kama ajili inatokea.

Mfano BUS la DART lingekuwa linakwenda kwa speed elikeze ya sehemu husika je Athari ile ingekuwa kiasi kile?

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Taasisi ya tiba ya mifupa kwenye Hospitali ya Muhimbili (MOI) imesema Mwanaume aliyeonekana akigongwa na Basi la abiria “mwendokasi” Jijini Dar es salaam jana, amelazwa Hospitalini hapo kwenye chumba cha ICU.

Meneja wa Kitengo cha Uhusiano cha MOI Patrick Mvungi ameiambia AyoTV kuwa Mtu huyo wamempa jina la ‘UNKNOWN’ kwa sababu mpaka sasa hawana taarifa zake rasmi.

Mvungi ameongeza kuwa mpaka sasa Mtu huyo ambaye amevunjika mguu, mkono na kuumia kichwani hawezi kuongea lakini anafungua macho

Sout. #MillardAyoUPDA
 
Mungu ampe uzima na afya,ndugu yetu huyu.
 
Kama sheria ingekuwapo kwenye BARABARA ya mwendo kasi inayo elekeza SPEED ya eneo husika lazima DEREVA wa DART angelifata sababu asingeweza kuupuza kama MADERVA wa usafiri mwingine na IMPACT YAKE isinge kuwa kubwa kama ilivyo kuwa kama BUS LA MWENDO KASI linge kuwa linakwenda 20MPH impact ingekuwa kidogo sana.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
Kama mwendokasi ilikuwa ni express utalazimisha liende 20mph?
Halafu unazijua sheria za gari lililopo highway na gari linalotaka kuingia highway?
 
Back
Top Bottom