Kama sheria ingekuwapo kwenye BARABARA ya mwendo kasi inayo elekeza SPEED ya eneo husika lazima DEREVA wa DART angelifata sababu asingeweza kuupuza kama MADERVA wa usafiri mwingine na IMPACT YAKE isinge kuwa kubwa kama ilivyo kuwa kama BUS LA MWENDO KASI linge kuwa linakwenda 20MPH impact ingekuwa kidogo sana.Umeliona la mwendokasi ila haujaliona la mwenye rav4.
Hii nchi waongo sana, huyo hawezi pona,Taasisi ya tiba ya mifupa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MOI) imesema Mwanaume aliyeonekana akigongwa na Basi la abiria “mwendokasi” Jijini Dar es salaam jana, amelazwa Hospitalini hapo kwenye chumba cha Uangalizi Maalum (ICU)...
Naona unajivija Umungu.Hii nchi waongo sana,huyo hawezi pona,
Seriously unataka bus liende 20kph! Unaijua 20kph lakini? Wewe kama dereva unaweza kuendesha 20kph? Kwani hilo bus la mwendokasi lilikuwa speed kubwa ngapi? Mimi namshangaa tu huyo dereva wa mwendokasi kuhatarisha maisha ya watu wengi kwasababu ya mpuuzi mmoja. Angemburuza tu kwenye njia yake bila kukwepa tusingepata usumbufu huu.Kama sheria ingekuwapo kwenye BARABARA ya mwendo kasi inayo elekeza SPEED ya eneo husika lazima DEREVA wa DART angelifata sababu asingeweza kuupuza kama MADERVA wa usafiri mwingine na IMPACT YAKE isinge kuwa kubwa kama ilivyo kuwa kama BUS LA MWENDO KASI linge kuwa linakwenda 20MPH impact ingekuwa kidogo sana.
Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
Yah naifahamu vizuri na ni DEREVA niliye qualified HDV LICENCE najua nacho kisema narudi tena MABUS YA MWENDO KASI kama wahusika wapo humu lazima iwekwe sheria ya mwendo katika sehemu za MJINI kwenye makutano ya barabara.Seriously unataka bus liende 20kph! Unaijua 20kph lakini? Wewe kama dereva unaweza kuendesha 20kph? Kwani hilo bus la mwendokasi lilikuwa speed kubwa ngapi? Mimi namshangaa tu huyo dereva wa mwendokasi kuhatarisha maisha ya watu wengi kwasababu ya mpuuzi mmoja. Angemburuza tu kwenye njia yake bila kukwepa tusingepata usumbufu huu.
Nafikiri ni mshtuko ndio ulimfanya ashindwe kufanya maamuzi sahihi ya haraka.Seriously unataka bus liende 20kph! Unaijua 20kph lakini? Wewe kama dereva unaweza kuendesha 20kph? Kwani hilo bus la mwendokasi lilikuwa speed kubwa ngapi? Mimi namshangaa tu huyo dereva wa mwendokasi kuhatarisha maisha ya watu wengi kwasababu ya mpuuzi mmoja. Angemburuza tu kwenye njia yake bila kukwepa tusingepata usumbufu huu.
Wewe unafikiri chanzo cha ile ajali ni mwendo wa bus au yule alieamua kupita makutano bila kusimama/kuangalia wakati analazimika kusimama hapo kupisha hayo mabasi?Yah naifahamu vizuri na ni DEREVA niliye qualified HDV LICENCE najua nacho kisema narudi tena MABUS YA MWENDO KASI kama wahusika wapo humu lazima iwekwe sheria ya mwendo katika sehemu za MJINI kwenye makutano ya barabara.
Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
Uhindini nadhani, taarifa kamili zenyewe hakunaHivi ajali imetokea maeneo gani,i mean posta mtaa gani,pale city council au?
Mzee pale wote wanamakosa ( mwendokasi na huyo wa gari ndogo)Duuh mungu mkubwa. Yaani pale kachomoka mtu?
Ukiiangalia kwa karibu alionekana amelala chini kama mtu aliyekufa nguo zimejaa damu.Mh mbona wengine wanasema amesagika pale pale. Anyway Mungu hashindwi kitu.
Sababu ni gari ndogo imeingia bila kuangalia kila mtu anajua hilo lkn haliondoi sababu mamlaka husika kuweka sheria za BARABARANI ....... sheria za BARABARANI huwekwa kunguza AJALI na ATHARI zinazo weza kutokea kama ajili inatokea.Wewe unafikiri chanzo cha ile ajali ni mwendo wa bus au yule alieamua kupita makutano bila kusimama/kuangalia wakati analazimika kusimama hapo kupisha hayo mabasi?
Mungu ampe uzima na afya,ndugu yetu huyu.Taasisi ya tiba ya mifupa kwenye Hospitali ya Muhimbili (MOI) imesema Mwanaume aliyeonekana akigongwa na Basi la abiria “mwendokasi” Jijini Dar es salaam jana, amelazwa Hospitalini hapo kwenye chumba cha ICU.
Meneja wa Kitengo cha Uhusiano cha MOI Patrick Mvungi ameiambia AyoTV kuwa Mtu huyo wamempa jina la ‘UNKNOWN’ kwa sababu mpaka sasa hawana taarifa zake rasmi.
Mvungi ameongeza kuwa mpaka sasa Mtu huyo ambaye amevunjika mguu, mkono na kuumia kichwani hawezi kuongea lakini anafungua macho
Sout. #MillardAyoUPDA
Kama mwendokasi ilikuwa ni express utalazimisha liende 20mph?Kama sheria ingekuwapo kwenye BARABARA ya mwendo kasi inayo elekeza SPEED ya eneo husika lazima DEREVA wa DART angelifata sababu asingeweza kuupuza kama MADERVA wa usafiri mwingine na IMPACT YAKE isinge kuwa kubwa kama ilivyo kuwa kama BUS LA MWENDO KASI linge kuwa linakwenda 20MPH impact ingekuwa kidogo sana.
Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app