MOI: Mwanaume aliyegongwa na Basi la Mwendokasi yuko ICU

Chukua finger prints za mgonjwa na run ndani ya central data systems ya raia, informations zote zimo ndani ya systems hiyo.
kama tu alijisajili kwa ajili ya NIDA kinyume na hapo hakuna kitu. Na wapo watu wengi tu hapa mjini hawajui hata namba ya NIDA inafananaje kumaanisha hawakujiandikisha.
 

puguza ujinga weww hakuna mtu asiekuwa na ndugu, hata kama kaja kutoka mikoani ukimpiga picha ukamtoa kwenye habari ndugu zake walioko msalala au nyangwale watamuona
 
Umaskini ulionao ndo unakufanya ndugu wakutenge ila ungekuwa na kipato hukosi ndugu mjini ww
Labda unazungumzia "chawa"
Kuna tofauti ya ndugu na wapambe au machawa.

Pamoja na yote simlazimishi yeyote kukubali ninachosema.
 
Labda wanaogopa kujitokeza kwa kuhofia kutoa gharama za matibabu.
 
Wewe huna hoja ya maana hapo....
Mtu yeyote apatae impact kama ile anaweza kupata maumivu na madhara ambayo hupelekea yeye majeruhi kupoteza fahamu kwa kipindi kirefu.
Inategemea ubongo wake umedhurika kiasi gani!

Halafu sio kila mtu aliyeko Dar es salaam,anao ndugu wa karibu.
Kuna makundi mengi tofauti ambayo hayana ukaribu na ndugu zao,ambao wanaweza kufanya follow up ya mapema.

Na wengine hata makazi ya kudumu hawana .ni homeless.

Pia watanzania sio wote wenye vitambulisho vya NIDA au vyeti vya kupigia kura.

Na sioni sababu ya Serikali kuficha kifo cha raia wake,ambae amepatwa ajali mbele ya hadhara.

Ifichwe kifo chake ili iweje?

Hoja yako wewe MINOCYCLINE ni mfu na inathibitisha kuwa wewe ni Minor thinker!
 
Acha ujinga dogo, kwani kila aliyeko dar ana ndgu? Aliekwambia hawataki kumtaja jina ni nani? Ili iweje kwani? Walishasema mgonjwa yupo ICU hawezi kuongea ila macho afumbua
 
puguza ujinga weww hakuna mtu asiekuwa na ndugu, hata kama kaja kutoka mikoani ukimpiga picha ukamtoa kwenye habari ndugu zake walioko msalala au nyangwale watamuona
Hiyo picha unaweza kutusaudia wewe kuipiga?

Kwa impact ile unaweza kutarajia kupata picha yenye kutambulika vizuri?

Na una uhakika gani kwamba kichwa chake kakijazungushiwa bandeji chote?
 
Inashangaza unaasses majeruhi kwa CCTV footage na mnasema kabisa eti hatoboi mnajisahaulisha kwamba uhai na kifo ni dhima ya Muumba

Ile impact ni Kubwa sana ngumu kutoboa,wanachofanya MNH ni kubuy time kwanza maana wakitoa taarifa za kifo hapo hapo italeta taharuki,wana JF wengi ni rahisi sana kudanganywa ,wao kila kitu wanameza wala hawadigest...irudie tena na tena ile CCTV video kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…