Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Mnazidi kuthibitisha kuwa bila matusi hamna hoja. Mwenzako ameniita kilaza halafu wewe ukaniongezea sifa ya ujinga.Acha ujinga mzee, chadema walishaelezea maama ya NRNE
Wagombea wao kuenguliwa hovyo bila sababu ya msingi, wizi wa kura, mawakala wao kuzuiwa kungia kwa muda kwenye vyumba vya kupigia kura
Kanuni za maadili zilizotungwa kwenye uchaguzi huu si rafiki kwa Upinzani
Ndo maana wanadai reforms ili kuwe na fair election
Kuunganisha nguvu bila uchaguzi huru hakuna maana yoyote, wagombea wenu wataenguliwa mawakala wenu watazuiwa ili watu waingize kura feki, wanachama wenu watauawa kwa kudai haki Yao ambayo ni kura
Ila kwa wajinga kama nyinyi hamuelewi ni kuilaumu chadema kama fala
Mjinga siyo tusiMnazidi kuthibitisha kuwa bila matusi hamna hoja. Mwenzako ameniita kilaza halafu wewe ukaniongezea sifa ya ujinga.
Hebu nielimishe No Elections itafanikishwa vipi? Na kususia uchaguzi kutaletaje haki katika chaguzi zijao?
Amandla...
Chadema ndo ilikuwa inatia wagombea hofu wa vyama vingine.kwa kutokushiriki sasa imefungulia kila mtu ambaye anajua atagombea kupitia CCM atashinda bila wasiwasi.
Na wakati huo huo vyama vingine vya upinzani vinaona hii ni nafasi ya wao kuweza pata wabunge kwa kuwa ni wazi kuna majimbo ambayo wataachiwa ili kuweza balance kidogo shughuli za kibunge.
Sasa every Tom , Dick and Harry wants to be a MP. Na watu wa CCM na vyama rafiki wanafurahia kuwa hili libaki kama lilivyo kusiwe na mabadiliko kutoka NRNE ibaki vivyo hivyo.
CCM ikuachie majimbo!? Hivi nyinnyi ni wageni wa hii nchi!? Alafu inasikitisha sanaa kama Ubunge unatolewa kwa hisani ya mtu au chama badala ya kura halali za Wajumbe na wananchi. Kweli REFORMS ni muhimu sana.Chadema ndo ilikuwa inatia wagombea hofu wa vyama vingine.kwa kutokushiriki sasa imefungulia kila mtu ambaye anajua atagombea kupitia CCM atashinda bila wasiwasi.
Na wakati huo huo vyama vingine vya upinzani vinaona hii ni nafasi ya wao kuweza pata wabunge kwa kuwa ni wazi kuna majimbo ambayo wataachiwa ili kuweza balance kidogo shughuli za kibunge.
Sasa every Tom , Dick and Harry wants to be a MP. Na watu wa CCM na vyama rafiki wanafurahia kuwa hili libaki kama lilivyo kusiwe na mabadiliko kutoka NRNE ibaki vivyo hivyo.
Sawa mjinga.Mjinga siyo tusi
Unatoa hoja za Kijinga wewe Mjinga
Wewe mwenyew kilaza tu kama huyo bumunda mwenzako
Ili apige pesa ndefu,Mrema hua hagombei yeye ndoto yake nikua kwenye Sekretarieti tu.
Mfano Mrema au Salum Mwalimu akigombea atamvutia nani?lakini CHADEMA hipo tu, na watu wengi wameshaisahau, waliokuwa wabunge wa CHADEMA wengi wanagombea kupitia vyma vingine
Umepiga ramli chonganishi.Yaani kwa jinsi watanzania walivyo na akili siku izi,itafifia lkn 2030 itakuja upya.tuzidiHaya ndio wengine tulikuwa tunahofia. Chadema walikurupuka na NRNE na hawakutaka kusikia ushauri. G55 waliwaambia CCM ukiwaachia mpunga wanaondoka na sinia.
Sasa hivi kila mtu anajua kuwa serikali na bunge lijalo ni la CCM. Bunge la wakina Shilole na Mwijaku.
Safari hii CCM hawatafanya kosa la kuharibu uchaguzi mpaka ikabidi walazimishe upinzani feki wa Covid-19.
Sasa hivi ACT-WAZALENDO na Chaumma wataachiwa washinde viti kadhaa ili kuwe na kambi rasmi ya upinzani isiyo na meno. Watajitahidi kuwasemea wananchi lakini watapuuzwa. Na Katiba Mpya italetwa na hilo bunge.
Chadema wangeunganisha kambi na kuwasikiliza G55 Sasa hivi pangekuwa na msisimko zaidi na wangewasumbua sana CCM. Tumaini lililobaki ni baadhi ya watu makini waliobaki kuhama CDM na kuhamia CHAUMMA au ACT-WAZALENDO.
Na hapa bado. Tutaona watakavyoendesha chama chao bila ruzuku. Kwa miaka mitano.
Kama hali itakuwa hivyo, lawama zote itabidi zibebwe na Chadema na sio mwengine.
Amandla..
Unity ipi hii ya kuwapa bandari waarabu?For the sake of our national unity,we dont need chadema.
Umemaliza kila kitu. Napendekeza uzi huu uishie hapa!Sikiliza, ni bora Chadema isiwepo kabisa kuliko kushiriki kitu cha maigizo.
Unashiriki ili iwe nini wakati unajua hata ukishinda huwezi kutangazwa?
Kushiriki ili kupewa hisani ya wabunge wachache ni ujuha, ni kujali maslahi binafsi kuliko ya nchi.
Kuwa na demokrasia danganya toto ni upuuzi.
Ni aidha tuwe na mfumo kamili wa vyama vingi ama turudi chama kimoja.
Tunatumia pesa nyingi mno kuandaa uchaguzi wa maigizo, kama hatutaki vyama vingi, kwa nini tusiwe kama china?
Futa vyama vingi pesa za kulipa tume ya uchaguzi na gharama zote ziende kwenye maendeleo.
ccm kupata wabunge wa upinzani ili kuendelae kupata misaada ya nje, rejea suala la covid19. Pia huyu bwana hajawahi kupata ubunge na uchaguzi huu ulikuwa kete muhimu sana kwakeMfano Mrema au Salum Mwalimu akigombea atamvutia nani?
Yaani imerudi nyuma snSipati picha Huko bungeni jinsi akina mwijaku watakavyogalagala....
TANZANIA inazidi kurudi nyuma kwenye enzi ya ujima
kwani ni mashindano ya urembo??Mfano Mrema au Salum Mwalimu akigombea atamvutia nani?
We ni boya, hiyo analysis ya kijinga na kipumbavu kabisa, hamna ulichoandika hapo kiongozi 🤣🤣🤣Haya ndio wengine tulikuwa tunahofia. Chadema walikurupuka na NRNE na hawakutaka kusikia ushauri. G55 waliwaambia CCM ukiwaachia mpunga wanaondoka na sinia.
Sasa hivi kila mtu anajua kuwa serikali na bunge lijalo ni la CCM. Bunge la wakina Shilole na Mwijaku.
Safari hii CCM hawatafanya kosa la kuharibu uchaguzi mpaka ikabidi walazimishe upinzani feki wa Covid-19.
Sasa hivi ACT-WAZALENDO na Chaumma wataachiwa washinde viti kadhaa ili kuwe na kambi rasmi ya upinzani isiyo na meno. Watajitahidi kuwasemea wananchi lakini watapuuzwa. Na Katiba Mpya italetwa na hilo bunge.
Chadema wangeunganisha kambi na kuwasikiliza G55 Sasa hivi pangekuwa na msisimko zaidi na wangewasumbua sana CCM. Tumaini lililobaki ni baadhi ya watu makini waliobaki kuhama CDM na kuhamia CHAUMMA au ACT-WAZALENDO.
Na hapa bado. Tutaona watakavyoendesha chama chao bila ruzuku. Kwa miaka mitano.
Kama hali itakuwa hivyo, lawama zote itabidi zibebwe na Chadema na sio mwengine.
Amandla..
Sera ndizo zinazoongea mvuto mpelekee mumeo.Mfano Mrema au Salum Mwalimu akigombea atamvutia nani?
Badala ya matusi si ungenielimisha nimekosea wapi? Au haujui?We ni boya, hiyo analysis ya kijinga na kipumbavu kabisa, hamna ulichoandika hapo kiongozi 🤣🤣🤣
Duuu, kiongozi nimejibu kwa mihemko mno!! Najisikia vibaya, NAOMBA UNISAMEHE KABISA!!Badala ya matusi si ungenielimisha nimekosea wapi? Au haujui?
Kama kiongozi wako ni bora basi tatizo ni kubwa kuliko tunavyo dhania.
Amandla....
Kama hili nalo ulikuwa hujalielewa tokea lianze kusemwa basi uwezekano wa kuelewa chochote ni hakuna.Mnazidi kuthibitisha kuwa bila matusi hamna hoja. Mwenzako ameniita kilaza halafu wewe ukaniongezea sifa ya ujinga.
Hebu nielimishe No Elections itafanikishwa vipi? Na kususia uchaguzi kutaletaje haki katika chaguzi zijao?
Amandla...