GE2025 Moja ya impacts za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi zaanza kuonekana sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Impact haijaonekana bado, sahiv tupo kwenye effects.

Tutaanza kuimba impacts in the next 3 years
Mbona tayari imeanza mkuu si unaoa Trilioni 40 zimekopwa miaka 4 tu na hakuna cha maana kisa hakuna uwakilishi wa wananchi Bungeni. Next 5 years ya huyu mama itakua migumu sana kwetu maisha yatakua jiwe hasa
 
Sasa hiyo ni fursa
 
Kama hili nalo ulikuwa hujalielewa tokea lianze kusemwa basi uwezekano wa kuelewa chochote ni hakuna.
Ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa ukitegemea atacheza!
Fanya lingine tu lisilo tumia akili utafanikiwa.
Mtu asiyekuwa na jibu kazi yake ni kujizungusha. Swali hili halilijajibiwa na mtu yeyote kuanzia Lissu mpaka Chakaza. Wote mnazunguka zunguka tu. Kwa kiswahili " mtafanya nini kuhakikisha hana kitu kinachoweza kutafsiriwa kama uchaguzi"?

Swali lingine ni "reforms " zipi mnazotaka? Na mtafanya nini kama hazitafanyika? Nauliza maana sasa hivi ingawa hamna dalili za reform zozote za maana kufanyika kabla ya uchaguzi, mmeisha anza kulalamika kuwa mnazuiwa kushiriki kwenye uchaguzi ambao mliweka bayana kuwa hamtashiriki katika mazingira ya sasa. Au mnataka kusogeza magoli?

Amandla....
 
Duuu, kiongozi nimejibu kwa mihemko mno!! Najisikia vibaya, NAOMBA UNISAMEHE KABISA!!

Bado nilikuwa na namna bora ya kujibu andiko lako kwa busara!!

Sorry once again.
Apologies accepted. Wote huwa tunakosea.

Amandla....
 
Sijui tunaenda kutengeneza Taifa la namna gani la kusifia viongozi hata pale wanapotimiza majukumu yao Mungu atusandie
 
wazungu warudi kututawala, kisha tupambane tena kuwaondoa, mkoloni wa nje ni rahisi kumwondoa kuliko mkoloni wa ndani, tukisha mwondoa tusirudie kosa kwenye katiba tukayoiunda
 
Duuu, kiongozi nimejibu kwa mihemko mno!! Najisikia vibaya, NAOMBA UNISAMEHE KABISA!!

Bado nilikuwa na namna bora ya kujibu andiko lako kwa busara!!

Sorry once again.
Wewe ni mtu jasiri sana.

Kukiri kosa na kuomba msamaha inahitaji mtu jasiri.

Hongera kwa uungwana.
 

..hakuna mgombea wa Ccm atakubali kutolewa kafara.

..wapinzani wanaweza kupewa mbunge mmoja wa kuchaguliwa, na wachache wa viti maalum, kama bunge lililopita.
 
🚮🚮
 

Maelezo yako yana Hoja, Ila G55 walikuwa ni madalali, walishauza utu wao kwa CCM.
 
Maelezo yako yana Hoja, Ila G55 walikuwa ni madalali, walishauza utu wao kwa CCM.
Hapana. Waliona mbali na walijaribu kuwashauri wenzao. Lakini kutokana na moto wa kulipiza visasi wakatengwa kiasi hawakuwa na jinsi bali kujitoa katika chama. Ningekuelewa kama ungesema Esther Bulaya na wenzake walikuwa madalali lakini sio wakina Catherine Ruge.

Amandla...
 

wengine kama hao akina Ruge walijikuta tu wamo kwenye makundu sio sahihi, naielewa vita ya kisiasa ndani ya vyama, ndivyo inavyokuwa.
 
CHADEMA ni uhai kwa taifa la tanzania
 
Hi all,

Chadema imefanikiwa sana katika mkakati wake iliouleta wa NRNE, tayari msamiati huu umewafikia walengwa. Kwa mtu smart na anayefuatilia vizuri siasa za Bongo anaweza kukupa ukweli huu, tatizo wengi tunaangalia matokeo ya uchaguzi wenye kulalamikiwa. Impact ya NRNE tutaiona kwenye foleni za siku ya kupiga kura, wangapi watajitokeza, habari ya simple majority tuiweke kando. Nadhani wengi tutakumbuka uchaguzi serikali za mitaa ulikuwaje.

Umuhimu wa Chadema kwenye uchaguzi huu ni mkubwa maana nchi inashindanisha Wagombea bora kwa sera na hoja zenye mashiko, CCM wanapata changamoto Chadema akiwepo, na CCM wanalijua hili vizuri. Baada ya CDM kuondokewa na wanachama kwenda Chauma, ni kama nyoka anavyojivua gamba. Leo CDM wakirudi kwenye Uchaguzi ( baada ya NRNE kufanyiwa kazi), watakuwa Wazuri na hatari kwa CCM kuliko kabla na vijana wengi wataingia CDM wenye Bongo kali kwa kuwa kutakuwa na fursa/nafasi huru kuliko CCM. Rejeo la CDM kwenye uchaguzi na ulingo wa siasa ktk mazingira yaliyorekebishwa utaifanya CDM kuwa ktk mstari sahihi.
 
Mkuu inaweza kuwa hivo usemavyo. Lakin jambo gumu zaid ni kwamba je, dereva aliye shikilia usukan atakubali kuwa zama zake zimesha aachie gari arudi kukaa siti ya nyuma?
Au ataliangusha gari kuliko kuachia uskani?
Maana nikama dereva(mwajiriwa) anajiona kuwa bosi wa mmiliki wa gari (mwajiri wake).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…