Moja ya makosa utafanya ni kuolewa na Mwanaume wa miaka 50+. Walioingia huko wengi wanalia

Moja ya makosa utafanya ni kuolewa na Mwanaume wa miaka 50+. Walioingia huko wengi wanalia

Gape kubwa ya umri inafanya wawili washindwe kuishi pamoja, namna ya kufikiri, mambo ya kufikiri, mnakuwa hamuendani...lazima stress zikuuwe.

Sahihi Kabisa

Hata mkikaa mkiongea mnashindwa mzungumze kitu gani, kwa sababu gap ni kubwa sana
Mkienda club mmoja anataka nyimbo za aina fulani mwingine za kina Wizkid.

Yaani mke badala awe mke anakuwa eldercare service
 
Anawatoto wakubwa. Wanasehemu ya maamuzi ndani ya familia.

Mwanaume mtu mzima age 50+ hawezi mfanya mkewe mwenye miaka 20+ au 30+ ati amuombe ushauri. Atamshauri kitu gani?
Wanaume wengi wanakuwa wana mifumo tayari inayojiendesha mpaka mifumo ya ushauri.

Kibinti kikifika kinajiona kama hakina umuhimu wowote. Kumbuka wanawake nao wanatabia ya kujifanya ati wanashauri au wachangiaji ndani ya nyumba ili uwepo wao uonekane.
Sasa hilo linakuwa gumu kutokea anapoolewa na mtu mzima
Kumbe wewe ndiyo wale wa ...bora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu 😁😁 ushauri kuutafuta kwa mke ni uanithi mkubwa sana ..lazima wewe unatatizo tena kubwa mno ..unatafutaje ushauri kwa mkeo au mama yako kama wewe siyo ndimu hadi umezidiwa akili na hao ...
 
Gape kubwa ya umri inafanya wawili washindwe kuishi pamoja, namna ya kufikiri, mambo ya kufikiri, mnakuwa hamuendani...lazima stress zikuuwe.
Wanawake wanao opera na wanaume wakubwa wana ufahamu mkubwa kuliko wale wengine ...wso wanakuwa wamekubali kuwa mwanaume ndiye kiongozi na kuhudu ushauri ni uanithi mwanaume kulipia kutaka ushauri kwa mwanamke . Pia swala la ushauri siyo umri ni akili ...kama unavyo sema ni sawa basi siyo sahihi baba kutska ushauri kwa watoto wake wa kiume kwa kigezo cha umri?
 
SISI WATU WENYE 50+ NDIYO SUKARI YA WAREMBO,TUNAJUA KUWAPA MABINTI FURAHA YA UKWELI HALISIA.
1-Huduma ni za kutosha kwa 100%
2-Hatuwatesi warembo kwa kusimamia kucha usiku mzima,
3-Tunajua mengi hii kitu haikomolewi labda ujikomoe mwenyewe,
4- Tunajua kutosheleza kwa muda mfupi sana na roho ya bint ikawa shwari..
Humu Kila mtu ni fundi wa mapenzi
 
Back
Top Bottom