Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
KumbeDuh ninavyopenda wababa mimi🙆🏽♀️
KumbeDuh ninavyopenda wababa mimi🙆🏽♀️
Hmm ngoja niongee na mubaba wangu tuone kama tutaweza kuwekana ndani, nitaleta mrejesho!
Njoo uitawale himaya yangu,Hmm ngoja niongee na mubaba wangu tuone kama tutaweza kuwekana ndani, nitaleta mrejesho!
Ndio🙄Kumbe
Ndio🤣Ndio huyo Icebreaker anapambana hapo?
LoohNdio🙄
Na we humoSema wababa wa siku hizi wamekaa kinoko kweli…..🤨
Miingoni mwa hao wanawake unaowasiliana nao hawasemi kuhusu uwezo wa watu wazima vitanda I kwa uuwiano kiuwezo wa kuwatosheleza?
Aww say no more daddy🥰💃🏽Njoo uitawale himaya yangu,
Wewe ndio utakua Malkia wa Nyumba,
Neno lako litakua ni amri na sio sheria,
Hitaji lako ni wajibu wangu,na mengineyo mengi,karibu peponi kwangu malaika wangu ili upumzike na heka heka za kidunia.
Mtibeli kwenye harusi yetu lazima uhudhurie na ukae mbele kabisa.Ndio huyo Icebreaker anapambana hapo?
Upo sahihi mkuuNa we humo
Huwezi kuniacha nikawa na amani hata kdg si ndio😒Looh
mh!Upo sahihi mkuu
Sema wababa wa siku hizi wamekaa kinoko kweli…..🤨
I wonderHuwezi kuniacha nikawa na amani hata kdg si ndio😒
Anaangaika hapa na pale🤓Huwezi kuniacha nikawa na amani hata kdg si ndio😒
Mtibeli kwenye harusi yetu lazima uhudhurie na ukae mbele kabisa.
Ndiyo mkuu,wanisamehe kwa kweli🥲😂😂😂
Madam! Madam acha hizo. Unajua humu JF wababa ndio wafadhili!?