MOJA YA MAKOSA BINTI UTAFANYA NI KUOLEWA NA MWANAUME MTU MZIMA MIAKA 50+. WALIOINGIA HUKO WENGI WANALIA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Chunguzi zangu za kina zinanionyesha haya. Nitazungumza ukweli mwingi ili kuwaponya ambao wanataka kujaribu kujiingiza huko.
2. Wadada wengi baada ya kuumizwa na mapenzi kutoka kwa vijana wenzao. Hufikiri kwamba suluhisho ni kuolewa na wababa watu wazima wale 50+ huko.
3. Ukweli ni kuwa Hakuna suluhu ya namna hiyo. Mtibeli nikuambie wazi hakuna watu wanaoteswa na mapenzi kama walioolewa na Wababa watu wazima.
4. Katika simu za wanawake kumi nitakazopokea zinazohusu mambo ya ndoa, simu sita ni wanawake walioolewa au wanaoishi kindoa na wanaume watu wazima. Na malalamiko yao yanafanana kwa asilimia 90%.
5. Nilipojaribu kuuliza kwa nini waliolewa na Wanaume watu wazima majibu yao yalikuwa hivi;
a) Watu wazima wanajua kupenda na wanajali.
b) Watu wazima walishavuka ujana hivyo hawana matukio.
c) Watu wazima wanajua thamani ya mwanamke na familia.
d) Watu wazima wanajua kutunza nakuhudumia kwani wengi wao wamejipata.
Hayo ni mawazo yao makuu karibu wote walizungumza mambo yanayoelekeana na hayo.
6. Na mitazamo hiyo ni Kabla ya wao kuishi au kuolewa na Wanaume hao watu wazima.
7. Baada ya kuolewa, mitazamo yao ilibadilika na walikuwa very dissapointed
8. Matokeo na malalamiko yao yako hivi;
a) Watu wazima wanapenda tuu mwanzoni lakini baada ya miezi kadhaa wanabadilika ni bora hata vijana.
b) Watu wazima ni wabinafsi na wanyanyasaji. Maneno kama ya kukusaidia, nilikutoa huna mbele wala nyuma, huna pakwenda ni kawaida.
c) Watu wazima wengi huwazuia Wake zao hawa wadogo kutokufanya kazi kwa kuonyesha wanawivu. Lakini Mtibeli najua hiyo ni njia ya kuwadhibiti na kuwatawala hao mabinti kirahisi.
d) Changamoto za Mke aliyetangulia na Watoto aliowakuta.
Bado mke na watoto aliowakuta ananguvu kubwa kwenye maisha ya Mwanaume mtu mzima.
Hii inafanya binti aliyeolewa na mtu mzima kuwa hana mamlaka wala nguvu yoyote.
e) Watu wazima bado hawajaacha tabia za kutembea na wanawake na wengi Bar na kazi ndio muhimu kuliko mke mpya.
f) Hakuna Kampani wala attension kutoka kwa Baba mtu mzima. Hii inawafanya wadada waishi kwa stresa. Zingatia mwanamke anathamini attention kuliko kula.
g) Mitazamo potofu kutoka kwa Mwanaume na jamii kuwa mwanamke kafuata pesa.
Wadada karibu wote waliniambia moja ya kero zinazowafanya wajute ni kasumba hiyo kwamba mpaka mwanaume anahisi kwamba alimfuata kwa sababu ya pesa.
Ndugu wa mume na majirani wanamtazamo huu jambo ambalo mwanamke hata kama anamapenzi ya kweli anaonekana kaja kuchuma mali.
9. Kwa kifupi, wadada wengi hujikuta katika hali ya stress na majuto baada ya matarajio yao kwenda kombo.
10. Kama Mtibeli, mara nyingi nashauri. Mabinti hakikisha, fanya ufanyavyo uwe na uwezo wa kujihudumia wewe mwenyewe. Kazi ndio Dini yako.
Maana msingi wa matatizo mengi wanayolalamikia wanawake upo kwenye utegemezi.
11. Mwanamke ukishakuwa unauwezo wa kujihudumia mapenzi hayawezi kukusumbua. Utasumbuliwa na mwanaume mmoja tuu. Yule uliyempenda kwa moyo wako wote. Wanaofuata ni kitonga.
12. Moja ya dalili huna kazi za kufanya ni kuteswa na kila anayekuja kuwa mpenzi wako. Ni kiashiria huna kazi za kufanya.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Ndio🤣
Stop wondering! This ain’t zoo!I wonder
Ila ukichunguza, makatazo hii dunia ni mengi mno.
Raha ya ngoma uingie mwenyewe ucheze! Wacha nikalionje joto la jiwe 💃🏽😀😃😃
Usijesema sijakutahadharisha.
Ingawaje kipendacho roho ....
Kwenye sherehe nitatoa gari la maharusi
HahahStop wondering! This ain’t zoo!
Wanazungumzia juu ya matumizi ya "viagra" na ni kwa kiasi gani?Hili hawalipi kipaombele.
Nilipojaribu kuwahoji wanaona hakuna tofauti kubwa baina ya vijana na hao wazee.
Isipokuwa Wazee wanakuwa busy sana.
Kuna mmoja mumewe yupo Dodoma kikazi alafu mwanamke yupo Huku Dsm.
Anasema anaweza kukaa hata mwezi mzima hajakutana na mumewe. Alafu akirudi kutoka Dodoma pia anaweza asilale naye. Ingawaje ikitokea wamelala anafanya kwa kiwango kinachomridhisha mdada
Unaweza kuandika ukurasa mzima ila ukimpa mtu mwingine ana andika mstari mmoja tu wenye hoja ya nguvu.
Mfano; Ungeweza kuandika tu; unapendekeza tofauti ya umri wa kuoana isizidi miaka pengine 15.
Huwezi kusema sijui mwanamke asiolewe na mtu wa umri wa miaka 50; umejiuliza mwanamke anaye olewa mwenyewe anamiaka mingapi?
SISI WATU WENYE 50+ NDIYO SUKARI YA WAREMBO,TUNAJUA KUWAPA MABINTI FURAHA YA UKWELI HALISIA.MOJA YA MAKOSA BINTI UTAFANYA NI KUOLEWA NA MWANAUME MTU MZIMA MIAKA 50+. WALIOINGIA HUKO WENGI WANALIA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Chunguzi zangu za kina zinanionyesha haya. Nitazungumza ukweli mwingi ili kuwaponya ambao wanataka kujaribu kujiingiza huko.
2. Wadada wengi baada ya kuumizwa na mapenzi kutoka kwa vijana wenzao. Hufikiri kwamba suluhisho ni kuolewa na wababa watu wazima wale 50+ huko.
3. Ukweli ni kuwa Hakuna suluhu ya namna hiyo. Mtibeli nikuambie wazi hakuna watu wanaoteswa na mapenzi kama walioolewa na Wababa watu wazima.
4. Katika simu za wanawake kumi nitakazopokea zinazohusu mambo ya ndoa, simu sita ni wanawake walioolewa au wanaoishi kindoa na wanaume watu wazima. Na malalamiko yao yanafanana kwa asilimia 90%.
5. Nilipojaribu kuuliza kwa nini waliolewa na Wanaume watu wazima majibu yao yalikuwa hivi;
a) Watu wazima wanajua kupenda na wanajali.
b) Watu wazima walishavuka ujana hivyo hawana matukio.
c) Watu wazima wanajua thamani ya mwanamke na familia.
d) Watu wazima wanajua kutunza nakuhudumia kwani wengi wao wamejipata.
Hayo ni mawazo yao makuu karibu wote walizungumza mambo yanayoelekeana na hayo.
6. Na mitazamo hiyo ni Kabla ya wao kuishi au kuolewa na Wanaume hao watu wazima.
7. Baada ya kuolewa, mitazamo yao ilibadilika na walikuwa very dissapointed
8. Matokeo na malalamiko yao yako hivi;
a) Watu wazima wanapenda tuu mwanzoni lakini baada ya miezi kadhaa wanabadilika ni bora hata vijana.
b) Watu wazima ni wabinafsi na wanyanyasaji. Maneno kama ya kukusaidia, nilikutoa huna mbele wala nyuma, huna pakwenda ni kawaida.
c) Watu wazima wengi huwazuia Wake zao hawa wadogo kutokufanya kazi kwa kuonyesha wanawivu. Lakini Mtibeli najua hiyo ni njia ya kuwadhibiti na kuwatawala hao mabinti kirahisi.
d) Changamoto za Mke aliyetangulia na Watoto aliowakuta.
Bado mke na watoto aliowakuta ananguvu kubwa kwenye maisha ya Mwanaume mtu mzima.
Hii inafanya binti aliyeolewa na mtu mzima kuwa hana mamlaka wala nguvu yoyote.
e) Watu wazima bado hawajaacha tabia za kutembea na wanawake na wengi Bar na kazi ndio muhimu kuliko mke mpya.
f) Hakuna Kampani wala attension kutoka kwa Baba mtu mzima. Hii inawafanya wadada waishi kwa stresa. Zingatia mwanamke anathamini attention kuliko kula.
g) Mitazamo potofu kutoka kwa Mwanaume na jamii kuwa mwanamke kafuata pesa.
Wadada karibu wote waliniambia moja ya kero zinazowafanya wajute ni kasumba hiyo kwamba mpaka mwanaume anahisi kwamba alimfuata kwa sababu ya pesa.
Ndugu wa mume na majirani wanamtazamo huu jambo ambalo mwanamke hata kama anamapenzi ya kweli anaonekana kaja kuchuma mali.
9. Kwa kifupi, wadada wengi hujikuta katika hali ya stress na majuto baada ya matarajio yao kwenda kombo.
10. Kama Mtibeli, mara nyingi nashauri. Mabinti hakikisha, fanya ufanyavyo uwe na uwezo wa kujihudumia wewe mwenyewe. Kazi ndio Dini yako.
Maana msingi wa matatizo mengi wanayolalamikia wanawake upo kwenye utegemezi.
11. Mwanamke ukishakuwa unauwezo wa kujihudumia mapenzi hayawezi kukusumbua. Utasumbuliwa na mwanaume mmoja tuu. Yule uliyempenda kwa moyo wako wote. Wanaofuata ni kitonga.
12. Moja ya dalili huna kazi za kufanya ni kuteswa na kila anayekuja kuwa mpenzi wako. Ni kiashiria huna kazi za kufanya.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Wanazungumzia juu ya matumizi ya "viagra" na ni kwa kiasi gani?
Aaah na weweKaka punguza kipaji cha ushauri basi 😏
Wababa hua watamu sanaa na uki date na mbaba unapata uraibu
Tuache tu yatukute😅😅😅
Ni kweli. Hakuna kitu perfect thats why saa nyingine mtu ishi tu, furahia kilichopo. Kama wewe ni binti na kilichopo ni mchumba wa 50+ tafuta namna furahi nae maana mbadala wake haupo perfect pia.Wewe Dunia kwani unaionaje Mkuu?😂😂😂
Angalia filamu za wanyama mbugani. Dunia ndio iko vile. Kujihami ni kwingi sana ili uwe safe
SISI WATU WENYE 50+ NDIYO SUKARI YA WAREMBO,TUNAJUA KUWAPA MABINTI FURAHA YA UKWELI HALISIA.
We acha tu kijana😅😅Aaah na wewe
Huyo mtu mwingine hakuna aliyemzuia lakini.
Hata asingeandika aweke lugha ya alama tuu. Sio tatizo
Nin ambacho unapata huko binti ambacho mim siwezi kukupa?We acha tu kijana😅😅
Hakuna jibu la moja kwa moja, mikikimikiki ya haya mambo yanaendelea kuwepo na walikuwepo, mpaka anaolewa na mtu mzima tayari wewe unachangamoto kwa hiyo isionekana mtu mzima ana tatizoMOJA YA MAKOSA BINTI UTAFANYA NI KUOLEWA NA MWANAUME MTU MZIMA MIAKA 50+. WALIOINGIA HUKO WENGI WANALIA.