Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #81
Mery Diana tu anashida
Anashida gani?
Mery Diana tu anashida
Wamejaa gubu kukoromeana wivu mwingi sana,na wasiwasi wa kuchapiwa tu❤️Daddy vijana wanatuonea wivu eti😌💅
Samahani mkuu 😂
Hatujui kuwatesa au kuwapiga mabinti kazi yetu ni kuwapa raha tu,hatuna gubu sisi.
Yeah shida sio kidgAnashida gani?
Basi njoo tujenge ngome yetu achana na vibaba😁Hakunaaa ushindweee pombe mwenyewe nakunywa hilo sio tatizo
Yeah shida sio kidg
hapa mtibeli kachanganya madesaKwa hiyo tatizo ni wababa au utegemezi wa wanawake?
HahahaItakuwa ni mchumba wa Crocodiletooth huyo
Anasema hawana gubu lakini wao ndio wanawapa magonjwa ya akili kina marry
Ahakikishe anapokuwa huko aunganishe familia na sio kujitenga na kubomoa wanawake wachache nimeona wameweza hili wengi ubinafsi, uchoyo umimi, unawaangusha sanaChangamoto nyingine Mwanaume ikitokea amekufa kwa tatizo jingije lolote, binti hupewa kashfa ya kumuua mumewe na chuki inakuwa kati ya watoto wakubwa na watoto wa mke mdogo
Yeah shida sio kidg
Ahakikishe anapokuwa huko aunganishe familia na sio kujitenga na kubomoa wanawake wachache nimeona wameweza hili wengi ubinafsi, uchoyo umimi, unawaangusha sana
Huo si umri wa kuoa binti, ni wa kuchakata tu kwa kutumia pesa. Binti akaolewe na saizi yake isiwe taabu
Akuuuuu sitaki stress za reja rejaBasi njoo tujenge ngome yetu achana na vibaba😁
Nakuhakikishia hii ni stress free zone ntakupenda adi useme bs red it's enough 😁Akuuuuu sitaki stress za reja reja
Mwanamke alie perfect angle zote, irudiweWhat did u see?😆