Moja ya makosa utafanya ni kuolewa na Mwanaume wa miaka 50+. Walioingia huko wengi wanalia

Moja ya makosa utafanya ni kuolewa na Mwanaume wa miaka 50+. Walioingia huko wengi wanalia

Siku zote Ninahoja wala sijisifii ingawaje kwangu kujisifia ni jambo la kawaida.

Siku ukiona sina hoja ni aidha nimesema ukweli usiotaka kuusikia.
Au nimepiga kwenye maslahi yako.

Lakini Mtibeli ndivyo nilivyo. Na hiyi ndio sifa inayonifanya niamike na nipendwe mpaka na wabaya wangu🤓😄
Sio mara zote wewe hua sahihi na haitowahi kamwe kutokea ukawa sahihi mara zote

But mara nyingine hua una madini mfano leo umeongea ukweli kabisa
 
Itakuwa ni mchumba wa Crocodiletooth huyo
Anasema hawana gubu lakini wao ndio wanawapa magonjwa ya akili kija marry


Mwanamke yupo kwaajili ya kujenga himaya yake Mkuu.
Usitarajie akaunganisha familia yake na ya mke mwenza. Hilo sahau.

Wanawake ni kama wanaume tuu.
Kama unavyomchukulia mtoto wa single mother ndivyo hivyohivyo nao wanavyochukulia mtoto wako ambao hujazaa naye.

Sijajua kwa nini wanaume tunafikiri wanawake wapo tofauti na sisi kwa kiwango kikubwa hivi
Ni kweli mzee Ila akiingia nyumba ambayo Kuna mwanamke alikufa na ako na watoto wakubwa asipokuwa disciplined hakuna rangi ataacha kuona ndo Hawa kina jack, Viki na wengine kibao
 
Kwahiyo vijana moto,wa baba moto,vizee moto🥹

Alafu wazee unaambiwa wanawivu mkali sana.
Picha linaanza kabla hajakuoa atakupa kila utakacho.
Akikuweka ndani atakuambia huna haja ya kufanya kazi. Wewe ni malkia, sijui ua blablabla! Wewe bichwa hilo.

Unapewa pesa. Baada ya mwaka hivi. Connection yako ya kazi itakuwa imeshakufa. Then anaanza kupunguza pesa na maneno ya kejeli yanafuata.

Aiseeh! Kuna stori ukiambiwa utacheka sana.

Wazee hawakupigi ila wanajua namna ya kukunyorosha
 
Ni kweli mzee Ila akiingia nyumba ambayo Kuna mwanamke alikufa na ako na watoto wakubwa asipokuwa disciplined hakuna rangi ataacha kuona ndo Hawa kina jack, Viki na wengine kibao

Sahihi kabisa.

Hapo mwanaume ndio itampasa atenganishe hizo familia.
Kwa sababu ukiwa na wake watatu jua unafamilia tatu.

Kosa tunalofanya wanaume ni kufikiri unaweza kuwa na familia moja kwa wake Watatu. Kitu ambacho hakipo.
 
Back
Top Bottom