Moja ya makosa utafanya ni kuolewa na Mwanaume wa miaka 50+. Walioingia huko wengi wanalia

I'm on my way mama angu kipenzi nikupendae natamani nipae tu fyaaa nijikute hapo kwenye sofa🄰
Uje na madolali
Uje na Mi wine ya huko nje na sigara
Uje na madini yalopita kwenye mashine za kisasa almasi yenye kito cha rubby iwe full cheni, hereni na bracelet.
Usisahau dhahabu iwe full hizi ntavaa nikiwa nakuchomea nyama
Niletee mikoba ya madesigner wakubwa huko bila kusahau high heels.
Gari jamani Toyota discovery itanifaa huku maporini maana Ina four wheelers.
Hebu wahi baba uje unikomboe!!!! Mume kutoka mambele mbona watanikomaa mashosti
 
Leo amka kumekucha,
Naona unasubiri ndege kwenye stendi ya Basi.
 
Uje na madolali
Uje na Mi wine ya huko nje na sigara
Uje na madini yalopita kwenye mashine za kisasa almasi yenye kito cha rubby iwe full cheni, hereni na bracelet.
Usisahau dhahabu iwe full hizi ntavaa nikiwa nakuchomea nyama
Niletee mikoba ya madesigner wakubwa huko bila kusahau high heels.
Gari jamani Toyota discovery itanifaa huku maporini maana Ina four wheelers.
Hebu wahi baba uje unikomboe!!!! Mume kutoka mambele mbona watanikomaa mashosti
Vyote hivyo nimebeba mama angu kipenzi kasoro tu high heels zisije kukuvunja miguu malaika wangu,

Gari nakuja na BMW.

Naomba uniandalie supu ya kuku wa kienyeji
 
Uje na madolali
Uje na Mi wine ya huko nje na sigara
Uje na madini yalopita kwenye mashine za kisasa almasi yenye kito cha rubby iwe full cheni, hereni na bracelet.
Usisahau dhahabu iwe full hizi ntavaa nikiwa nakuchomea nyama
Niletee mikoba ya madesigner wakubwa huko bila kusahau high heels.
Gari jamani Toyota discovery itanifaa huku maporini maana Ina four wheelers.
Hebu wahi baba uje unikomboe!!!! Mume kutoka mambele mbona watanikomaa mashosti

šŸ˜ƒšŸ˜„
 
Alafu wazee unaambiwa wanawivu mkali sana.
Picha linaanza kabla hajakuoa atakupa kila utakacho.
Akikuweka ndani atakuambia huna haja ya kufanya kazi. Wewe ni malkia, sijui ua blablabla! Wewe bichwa hilo.

Unapewa pesa. Baada ya mwaka hivi. Connection yako ya kazi itakuwa imeshakufa. Then anaanza kupunguza pesa na maneno ya kejeli yanafuata.

Aiseeh! Kuna stori ukiambiwa utacheka sana.

Wazee hawakupigi ila wanajua namna ya kukunyorosha
Wahuni nao huzeeka,Sasa Mzee kasharuka vihunzi kama vyote,anakuchezesha vile anataka.
 
Sometimes umasikini huwa unatabia Moja kuu .

Unakunyima best option.

Ni kweli haijakaa sawa Binti mwenye 20s na mzee wa miaka 50.

Ila Sasa unakuta anabidi atumie hiyo ndoa kama survival strategies

Ni sawa na MTU unakuwa umepata A zote badala ya kusomea udaktari unasomea ualimu ili upate ajira .

Au una A zote unaingia Polisi n.k

So ushauri wako ni mzuri ila unawafaa watu wanaotoka stable family ambao wapo na machaguo mengi na preference.
 
Back
Top Bottom