Moja ya makosa utafanya ni kuolewa na Mwanaume wa miaka 50+. Walioingia huko wengi wanalia

Moja ya makosa utafanya ni kuolewa na Mwanaume wa miaka 50+. Walioingia huko wengi wanalia

Changamoto kubwa zinazowakabili wanawake walio wengi si Wababa na wala si Wakaka, bali ni utegemezi wa kifedha na kifikra. Maana yake ni kwamba wengi wanasukumwa kuingia kwenye mahusiano kwa matarajio ya kusaidiwa kiuchumi na wengi wameaminishwa kiakili kwamba mahusiano ni chanzo cha mapato na kwamba ukipata mwanaume basi wewe umejikomboa kiuchumi.

The moment mwanamke ana uhuru wa kifedha na ana fikra huru, dating circles zake zinabadilika na ana uwezo wa kudate’Mubaba’ au ‘Mkaka’ au yeyote amtakaye kwababu dating kwake sio ‘source of income’ na vigezo vyake vya kudate vinabadilika

Ukipata nafasi ya kumshauri mwanamke mwambie:

1) Ajijengee uhuru wa kiuchumi
2)Ajijengee uhuru wa kifikra

Mengine ni mbwembwe tu
 
Back
Top Bottom