Moja ya makosa utafanya ni kuolewa na Mwanaume wa miaka 50+. Walioingia huko wengi wanalia

Moja ya makosa utafanya ni kuolewa na Mwanaume wa miaka 50+. Walioingia huko wengi wanalia

Ila mabinti ni watamu kuliko watu wazima, binti unakuta kule kumejaa unyevu/utelezi tele kuliko mtu mzima aliyekaukiwa ute. Hata wazee hawataki binti, ni wasumbufu. Pochi tu ndio kiboko yao, wazee huwini hapo
 
But tuiacha utani Robert Heriel Mtibeli una hoja sana kama mtu atasoma bila mihemko🙏🙏🙏

Siku zote Ninahoja wala sijisifii ingawaje kwangu kujisifia ni jambo la kawaida.

Siku ukiona sina hoja ni aidha nimesema ukweli usiotaka kuusikia.
Au nimepiga kwenye maslahi yako.

Lakini Mtibeli ndivyo nilivyo. Na hiyi ndio sifa inayonifanya niamike na nipendwe mpaka na wabaya wangu🤓😄
 
Sema mtibeli kuna hoja zako zingine hua zinatuharibia mishe zetu sisi wawindaji,
Unawasanua sana.
 
Sisi wa rika kama hilo hatuna mbamba tunajali, tunajua kupetipeti, tunabusara lakini pia tumejiwekeza kila sehemu kiukweli mwanamke anafurahia uwepo wetu.Kwahyo, Mtibeli usitupeperushie kasuku wetu..naona umekuja na kasi ya 5G kujivutia.

Mimi nimeeleza upande wa pili usiosemwa. Na hiyo ndio kawaida yangu. Kusema mambo ambayo hayapendelewi kuzungumzwa.

Kipi kinawafanya muwazuie hawa mabinti kufanya kazi?

Alafu mnakashfa ya kuwatolea maneno ya kuwanyanyasa mara oooh mlikuta wamechoka, mara wewe ndiye mkombozi,

Kingine,, kwa nini hamuwaamini wao mnaamini watu wengine, yaani unakuta unamwanamke mwingine unayemuamini kuliko hako kabinti.
Hii kero imelalamikiwa na wanawake wengi
 
Back
Top Bottom