Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #221
Gape kubwa ya umri inafanya wawili washindwe kuishi pamoja, namna ya kufikiri, mambo ya kufikiri, mnakuwa hamuendani...lazima stress zikuuwe.
Hapahapa mubaba wangu!Wapi hapo?
Kumbe wewe ndiyo wale wa ...bora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu 😁😁 ushauri kuutafuta kwa mke ni uanithi mkubwa sana ..lazima wewe unatatizo tena kubwa mno ..unatafutaje ushauri kwa mkeo au mama yako kama wewe siyo ndimu hadi umezidiwa akili na hao ...Anawatoto wakubwa. Wanasehemu ya maamuzi ndani ya familia.
Mwanaume mtu mzima age 50+ hawezi mfanya mkewe mwenye miaka 20+ au 30+ ati amuombe ushauri. Atamshauri kitu gani?
Wanaume wengi wanakuwa wana mifumo tayari inayojiendesha mpaka mifumo ya ushauri.
Kibinti kikifika kinajiona kama hakina umuhimu wowote. Kumbuka wanawake nao wanatabia ya kujifanya ati wanashauri au wachangiaji ndani ya nyumba ili uwepo wao uonekane.
Sasa hilo linakuwa gumu kutokea anapoolewa na mtu mzima
Wanawake wanao opera na wanaume wakubwa wana ufahamu mkubwa kuliko wale wengine ...wso wanakuwa wamekubali kuwa mwanaume ndiye kiongozi na kuhudu ushauri ni uanithi mwanaume kulipia kutaka ushauri kwa mwanamke . Pia swala la ushauri siyo umri ni akili ...kama unavyo sema ni sawa basi siyo sahihi baba kutska ushauri kwa watoto wake wa kiume kwa kigezo cha umri?Gape kubwa ya umri inafanya wawili washindwe kuishi pamoja, namna ya kufikiri, mambo ya kufikiri, mnakuwa hamuendani...lazima stress zikuuwe.
Andika hivi,huwazuia Wake zao hawa wadogo kutokufanya kazi
Hebu jongea hapa kanda ya nyonyo mumama wangu.Hapahapa mubaba wangu!
Say no more mubaba😘Hebu jongea hapa kanda ya nyonyo mumama wangu.
kabisaSasa wakifika huko. Uhakika wa kula na kuvaa upo. Zinakuja changamoto zile za kiutu uzima ambazo hawalingani nazo
Yan acha kabisa , daily kutuchanganya humu,Kazi ipo aisee,
Mwaka huu lazima Wanawake wachanganyikiwe aisee,
Maana mnawachanganya kama zege,
Hawajui washike lipi sasa!
Dah umetisha mzeeNjoo uitawale himaya yangu,
Wewe ndio utakua Malkia wa Nyumba,
Neno lako litakua ni amri na sio sheria,
Hitaji lako ni wajibu wangu,na mengineyo mengi,karibu peponi kwangu malaika wangu ili upumzike na heka heka za kidunia.
Humu Kila mtu ni fundi wa mapenziSISI WATU WENYE 50+ NDIYO SUKARI YA WAREMBO,TUNAJUA KUWAPA MABINTI FURAHA YA UKWELI HALISIA.
1-Huduma ni za kutosha kwa 100%
2-Hatuwatesi warembo kwa kusimamia kucha usiku mzima,
3-Tunajua mengi hii kitu haikomolewi labda ujikomoe mwenyewe,
4- Tunajua kutosheleza kwa muda mfupi sana na roho ya bint ikawa shwari..