REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
😁😁😁 Hapo kweli yaani kwenye finishing na designing ya nyumba wapo vibaya sana sio Nairobi wala mji wowote, nyumba zao hazina test hata wanazozijenga recentlyHata hivyo Game over is not a rich man, Don’t stress yourself kwa kipato cha Game over, though I can feed hungry friends..
2000 is the Maximum class for That Bus company I travelled with, They said there are 1500ksh for the same buss depending on the Position though Hatukuona tofauti ya hizo siti.
Nje ya Mada, Huo mji wa Mombasa ni Very Disorganized . Mnaishi kama Nguruwe wasee
Waende Dodoma wakajifunze designing and finishing