Mombasa City Bus Terminal..

Mombasa City Bus Terminal..

Hata hivyo Game over is not a rich man, Don’t stress yourself kwa kipato cha Game over, though I can feed hungry friends..
2000 is the Maximum class for That Bus company I travelled with, They said there are 1500ksh for the same buss depending on the Position though Hatukuona tofauti ya hizo siti.
Nje ya Mada, Huo mji wa Mombasa ni Very Disorganized . Mnaishi kama Nguruwe wasee
😁😁😁 Hapo kweli yaani kwenye finishing na designing ya nyumba wapo vibaya sana sio Nairobi wala mji wowote, nyumba zao hazina test hata wanazozijenga recently

Waende Dodoma wakajifunze designing and finishing

tland.co.ltd+InstantSave19f24.jpg
tland.co.ltd+InstantSave4cb77.jpg
tland.co.ltd+InstantSave890dd.jpg
tland.co.ltd+InstantSave82522.jpg
 
Umefika Mombasa sasa wajidanganya umefika Kenya? . Hujawahi sikia pwani sio Kenya . Anyway Mombasa is more developed than all your cities except DAR
Mombasa inapambana na Tanga hata Zanzibar haigusi
 
I am a very humble man but let me tell you this wewe ni Level ya chini sana,
Nimeshasafiri na Airlines kubwa duniani, Nimeenda hadi Ujerumani na Uturuki,
Kuanza kunivuta kwenye Level za buses ni kutaka kuniweka kwenye level moja na wewe,
Hatufanani mkuu, Ndio hivyo.
Kusafiri kwa Basi ni Umuzi tu ningeweza hata kusafiri kwa kq ningetaka,
Weye mwenyewe umeweka bandiko linaloashiria ushamba ,uduni utoto wako.
Tukuelewe vipi?
 
Kenya ina buses choka mbaya huwezi amini ni buses za kubeba binadamu, awali nilijua za kupeleka mbuzi machinjioni nilistuka sana nilivyoona wanashuka binadamu tena buses zenyewe ni za routes za majiji wakati Tanzania luxury buses zinaunganisha mpaka stand za wilaya huko ndani ndani lakini luxury buses ni za kumwaga.
 
Duuh mkuu unaua, ngoja Jenerosa aje🙂
Kenya ina buses choka mbaya huwezi amini ni buses za kubeba binadamu, awali nilijua za kupeleka mbuzi machinjioni nilistuka sana nilivyoona wanashuka binadamu tena buses zenyewe ni za routes za majiji wakati Tanzania luxury buses zinaunganisha mpaka stand za wilaya huko ndani ndani lakini luxury buses ni za kumwaga.
 
Mombasa inapambana na Tanga hata Zanzibar haigusi
Tanga ina airport? Tanga ina SGR train station? Tanga ina the biggest port in East and Central Africa? Wewe nenda danganya watoto wa miaka saba huko nje.
 
Haka kadude kanamuonekano mbaya namna gani? Kuja Karen ujionee maajabu ya Musa
Hizo ni nyumba za wa Tanzania wa kawaida yaani hiyo ndio designs zinazotrend saivi, in short sector ya ujenzi Tanzania ipo mbele kuwazidi.
 
Watu wa Mombasa wanakukaribisha lakini kwa mlivyo na akili za kishetani unawaza utafute wapi pabaya upige picha, Watanzania mnateseka sana.
Mimi juzi nimekua Dar na nikiamua kujaza mabaya niliyokumbana nayo humu ikiwemo kuugua Dengue halafu hospitali zenu zilivyo ovyo hadi ikabidi nihangaike sana, halafu nimekua kwenye kipindi cha mvua pachafu pananuka kishenzi, kuishi Dar ni kuvumilia hata kwa wenye hela zao.
Kuna mengi ya ovyo siwezi hata kuyaandika humu, hambadiliki, labda serikali ikikamilisha kuhamia Dodoma labda Dar patakua afueni.
 
Back
Top Bottom