Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

Ni uthubutu pia.. Lazima kuwa muwazi tangu rohoni
Kwa mantiki hiyo Mbowe sio muwazi rohoni kwa kumsalimia Makonda?
Mbowe ndio mwenye akili timamu kwenye kundi lenu la wajinga.
 
Unajua Makonda anaudhi sana, namwelewa Lema vizuri mno!
 
Hii nimeipenda. Huwezi kuwa unahubiri kuwa Makonda ni mhalifu anayestahili kuwa gerezani halafu mkikutana unamsalimia kwa bashasha kana kwamba mambo ni shwari kati yenu. Ishi kile unachohubiri. Lema hana kosa lolote.
 
Wacha kumshirikisha Mwenyezi Mungu na mwizi wa magari.Mwenye akili Chadema ni Mbowe tu.Na yeye kinachomsaidia ni kukulia mjini.Hana kiki za kishamba na ni a true politician.

Kwani Lema kakulia kijijini?
 
Hii nimeipenda. Huwezi kuwa unahubiri kuwa Makonda ni mhalifu anayestahili kuwa gerezani halafu mkikutana unamsalimia kwa bashasha kana kwamba mambo ni shwari kati yenu. Ishi kile unachohubiri. Lema hana kosa lolote.
Unaweza pia kuhubiri kwamba fulani ni fisadi lakini ukampokea na kuwa Mgombea wa Rais.
Unafiki una vipimo?Mbowe ni kiongozi matured kwenye kundi la wajinga.
 
Safi
 
Yaap kakulia kijijini Machame kaja mjini mtu mzima.Ndio maana ushamba unamsumbua.Alianza kujihusisha na siasa kwa kutaka kugombea na TLP ikasemekana akapewa kidogo ajitoe.Au wewe umemjua Lema akiwa Chadema?

Makonda alikuja mjini akiwa na umri gani ili tupime?
 
Lema kukata mkono wa huyu muhuni ni sawa tu
 
Makonda alikuja mjini akiwa na umri gani ili tupime?
Kwani mada ilikuwa tunazungumzia nani?Au unahamisha magoli?Mantiki yangu ilikuwa kuwalinganisha Mbowe aliyekulia mjini na Lema aliyekulia kijijini. Tukubaliane kwanza halafu ndio tuendelee na mlinganisho mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…