Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda


Ni hivi Lema Yuko sahihi kutosalimiana na huyo muhalifu, na huyo Mbowe unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Anachokifanya Makonda kingefanywa na mpinzani mngesema ni mwanaharakati na sio mwanasiasa. Inaonyesha ww ni bendera fuata upepo, ukisikia neno unarukia ili ionekane na ww unaenda na wakati. Nikikuuliza unipe tofauti ya mwanaharakati na mwanasiasa Wala huwezi kutoa, utaishia tu kucheza na maneno.
 
Kama hata hujui tofauti ya mwanasiasa na mwanaharakati hilo ni tatizo lako.Umeishiwa hoja unakuja na assumptions za kitoto.
 
Apostle kachafukwa na kondoo?,

kuwachunga na kuwalisha atapata tabu sana 🐒
 
Yes,
Yuko sahihi sana aise kamanda 🤣
 
Hivi mnawezaje kuandika lugha kama hizi? Hata kama hatuonekani ila tunaweza kujua wewe umelelewa kwenye familia ya namna gani
Nimeshawahi kukutusi wewe?Ametukana nimejibu.Au wewe mimi kutukanwa umeona sawa ila nikijibu ndio ushangae?
 
Kama hata hujui tofauti ya mwanasiasa na mwanaharakati hilo ni tatizo lako.Umeishiwa hoja unakuja na assumptions za kitoto.

Hebu nipe tofauti Yao, maana huko ccm wote hujifanya ni wanasiasa, lakini mwanasiasa wa upinzani mwenye misimamo huitwa mwanaharakati. Nasema hivi, ww ni bendera fuata upepo ndio maana huna maelezo kuhusu mwanasiasa au mwanaharakati.
 
Hebu nipe tofauti Yao, maana huko ccm wote hujifanya ni wanasiasa, lakini mwanasiasa wa upinzani mwenye misimamo huitwa mwanaharakati. Nasema hivi, ww ni bendera fuata upepo ndio maana huna maelezo kuhusu mwanasiasa au mwanaharakati.
Assumption zako za kijinga ndio zinafanya ukose hoja.CCM ikijifanya ina hoja inanihusu mimi nini?Kama hata hujui tofauti upo upo tu.Una hakika mimi ni CCM au unajifanya Sheikh Yahya?Au kila anayepinga unalosema ni CCM. Bado una safari ndefu sana kwenye kufikiri na kupambanua mada kimantiki.
 
🤣🤣🤣 daah eti jizi la magari ni nabii
 

Hili jambo suo gumu hivyo, unatumia nguvu kubwa ili iweje? Weka hapa tofauti ya mwanasiasa na mwanaharaati kama ww sio bendera fuata upepo fullstop.
 
Sio ukristo, nae kachemka

Kusamehe,kuachikia ni muhim
Laa sivyo ,ile sala ya "baba yetu naye asiisali"...
 
An activist
is someone who organises and acts for the purpose of changing a public policy or law.
While a politician is someone who seeks election to a public office on behalf of a general ideology or an agenda on which they promised to act.
Wisdom is chasing you but you are always faster.
Nataraji ujinga wako umepungua kidogo.
 
Lema ni nabii?

Chadema sasa akili zenu mnadhihirisha sawa na wale wanyama wa great migration of Serengeti ..!!
Mkuu mtu yyt ni nabii, yaani ht wewe ni nabii wa maisha Yako !
Hili Neno nabii lisikupe shida!
Unapojiombea,jitamkia ,jinenea mazuri yajayo ni unabii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…