Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Aliona sisi sote hatujitambui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliona sisi sote hatujitambui
Ndugu zangu kama mnavyojua kutoka Morocco kwenda Spain ni karibu tu na pia kutoka Morocco kwenda ethiopia ni karibu tu.
Miaka ya 1980s nchi pendwa ya Morocco ilijitoa kwenye muungano wa Afrika kwa kuona wao hawana hadhi ya kukaa na waafrika hadhi yao ni wazungu.
Wakaanza mchakato wa kusubmit paper za kujiunga Umoja wa Ulaya. Zile paper zilijibiwa ndani ya wiki moja kuwa hatuwataki nyie sio wenzetu.
Walipokosa pa kwenda wakajirudi Afrika kwa aibu wakapokelewa.
Cyprus ipo mbali na Ulaya lkn ni mwanachama wa umoja wa ulaya hawa ndugu zetu Morroco ulaya ni kama uani tu lkn wametoswa
Mwenye kujua zaidi atujuze ndugu zangu kwanini walikataliwa kujiunga na umoja wa Ulaya.
Morocco iko karibu na Ethiopia kivipi?Ndugu zangu kama mnavyojua kutoka Morocco kwenda Spain ni karibu tu na pia kutoka Morocco kwenda ethiopia ni karibu tu.
Miaka ya 1980s nchi pendwa ya Morocco ilijitoa kwenye muungano wa Afrika kwa kuona wao hawana hadhi ya kukaa na waafrika hadhi yao ni wazungu.
Wakaanza mchakato wa kusubmit paper za kujiunga Umoja wa Ulaya. Zile paper zilijibiwa ndani ya wiki moja kuwa hatuwataki nyie sio wenzetu.
Walipokosa pa kwenda wakajirudi Afrika kwa aibu wakapokelewa.
Cyprus ipo mbali na Ulaya lkn ni mwanachama wa umoja wa ulaya hawa ndugu zetu Morroco ulaya ni kama uani tu lkn wametoswa
Mwenye kujua zaidi atujuze ndugu zangu kwanini walikataliwa kujiunga na umoja wa Ulaya.
Ethiopia iko katikati ya nini? Umeangalia ramani?Uongo wa nn makuu ethiopia ni karibu kwa kila nchi kwa kuwa ipo katikati
Hii inatufundisha kwamba Afrika bado ni shithole, nchi hazitaki kufungamanishwa na Afrika.
Ethiopia iko katikati ya nini? Umeangalia ramani?
Jamani wa Morocco sio waafrica,African is for black people,hao mnaoona wamewakana wamesema Ukweli huku walikuja babu zao kufanya biashara ya utumwa tu,waachen warudi kwao huko
Ombi la Morocco mwaka 1987 lilikataliwa kwa sababu Morocco kijiografia haiko ulaya pia kitamaduni na kisiasa haina muunganiko na nichi za ulaya kwa uwazi kabisa,
Kwanza Ombi hilo lingekibaliwa ingeweza kuruhusu kisheria mafuriko ya mamilioni ya Waafrika kuingia Ulaya, na Ulaya tayari ilikuwa na matatizo makubwa na wahamiaji haramu wa Kiafrika kwenda Ulaya.
Pili Morocco ni nchi ya Kiislamu ambayo ina ufuasi wa sheria za Kiislamu ( Sharia). Ingawa nchi za Kiislamu zinakwenda ulaya , lakini kimsingi sheria ya Kiislamu haiendani na utamudi wa Magharibi ya EU.
Unaweza kujiuliza mbona Cyprus inaonekana iko zaidi Asia well hiki ni kisiwa ambacho kinahusishwa kihistoria na Ugiriki, kimeunganishwa na Uingereza tangu 1878 hadi uhuru wake mwaka 1960 Lugha yake rasmi ni Kigiriki kwahy Ina muunganiko wa muda mrefu wa kitamaduni na kisiasa na ulaya ndio maana imekuwa easy kwao kujiunga na EU.
Sababu ya kujitoa Morocco kwenye umoja wa Africa wadau wameshaongea hapo juu
Hawaoni mayote ilivyo sasaNingekuwa na Mamlaka ningeiomba Marekani iichukuwe Tanzania liwe jimbo la 53 la Marekani na Watanzania wote automatically wanakuwa Wamarekani.
Morocco walikuwa sahihi, ila ukiwa kichwa maji huwezi kuliona hilo.
Duh tazama ramani utaona nchi nyingi na mipaka yakeEthiopia ni katikati kwa nchi zote
Hilo ndio tunatakiwa tuandamane Sasa warudi kwao na sio kuwakasirikia wakisema wao si Waafrica.Kwanini hawaondoki africa sasa
Mbwa wale hili kombe wangechukua ila wanadharau asili yao.
Sasa wao sio wazungu wala hawana culture ya wazungu.. Umoja wa Ulaya sifa kuu ni kuwa mkristu au kufuata tamaduni za kikristu.. Ndio maana Uturuki hawezi kuingia umoja wa Ulaya. Kwanza wana beef kuwa la kihistoria na wazungu wa Ulaya ottoman aliwachachafya sana
Kwa ubaguzi na chuki zenu mnageuza uongo kuwa ukweli.Swala la Morocco kujitoa OAU mwaka 1980 ilikuwa ni baada ya OAU kuitambua jamuhuri ya Sahrawi yaani Sahara magharibi ambayo Morocco anaikalia kama koloni lake.Lile ni swala la kisiasa na harakati za ukombozi huko Sahara magharibi huongozwa na chama kiitwacho POLISARIO.Kama Morocco wangekuwa hawaitaki Afrika wasingekuwa wanachama wa CAF.Ilipotangazwa world cup 2010 kwamba ni lazima ifanyike Afrika ni Morocco iliyojitokeza kushindana na Afrika kusini.Kama wangekuwa hawataki wasingefanya hivyo.Nyongeza ni kwamba ,wakati tunataka Afrika iungane kuwa moja Morocco walikuwa sehemu ya mchakato ndiyo maana likaibuka kundi lililoitwa Casablanca dhidi ya Lili la Monrovia.Haya yote yanaungana na sababu za kijiografia kwamba Morocco ni sehemu ya bara la Afrika.Ndugu zangu kama mnavyojua kutoka Morocco kwenda Spain ni karibu tu na pia kutoka Morocco kwenda ethiopia ni karibu tu.
Miaka ya 1980s nchi pendwa ya Morocco ilijitoa kwenye muungano wa Afrika kwa kuona wao hawana hadhi ya kukaa na waafrika hadhi yao ni wazungu.
Wakaanza mchakato wa kusubmit paper za kujiunga Umoja wa Ulaya. Zile paper zilijibiwa ndani ya wiki moja kuwa hatuwataki nyie sio wenzetu.
Walipokosa pa kwenda wakajirudi Afrika kwa aibu wakapokelewa.
Cyprus ipo mbali na Ulaya lkn ni mwanachama wa umoja wa ulaya hawa ndugu zetu Morroco ulaya ni kama uani tu lkn wametoswa
Mwenye kujua zaidi atujuze ndugu zangu kwanini walikataliwa kujiunga na umoja wa Ulaya.
Makwabela hayo!
Wala sina muda wa kuya discuss walahi mishenzi tu[emoji35]
Kwa ubaguzi na chuki zenu mnageuza uongo kuwa ukweli.Swala la Morocco kujitoa OAU mwaka 1980 ilikuwa ni baada ya OAU kuitambua jamuhuri ya Sahrawi yaani Sahara magharibi ambayo Morocco anaikalia kama koloni lake.Lile ni swala la kisiasa na harakati za ukombozi huko Sahara magharibi huongozwa na chama kiitwacho POLISARIO.Kama Morocco wangekuwa hawaitaki Afrika wasingekuwa wanachama wa CAF.Ilipotangazwa world cup 2010 kwamba ni lazima ifanyike Afrika ni Morocco iliyojitokeza kushindana na Afrika kusini.Kama wangekuwa hawataki wasingefanya hivyo.Nyongeza ni kwamba ,wakati tunataka Afrika iungane kuwa moja Morocco walikuwa sehemu ya mchakato ndiyo maana likaibuka kundi lililoitwa Casablanca dhidi ya Lili la Monrovia.Haya yote yanaungana na sababu za kijiografia kwamba Morocco ni sehemu ya bara la Afrika.
Hata hivyo waarabu ni watu wa Asia. Ni wakoloni tu walikosea kuweka mipaka.Kwanini wasiocheza kujiunga asia sasa