polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 4,158
- 7,667
Inasemekena daraja lililokatika wilaya ya Kilosa eneo la Kiyegea jioni hii kuna ajali mbaya kati ya lori la sementi na noah ya abiria iliyokuwa inaelekea Gairo
Inasemekana baada ya lori kuvuka daraja na kuanza kupandisha kimlima cha daraja ika-fail brake noah nayo ilikuwa nyuma ndio ikapitiwa.
UPDATES
Inasemekana baada ya lori kuvuka daraja na kuanza kupandisha kimlima cha daraja ika-fail brake noah nayo ilikuwa nyuma ndio ikapitiwa.
UPDATES