astalavista
JF-Expert Member
- Jul 7, 2014
- 261
- 304
Tumekuwa wepesi kulaumu sana bila kushirikisha vizuri akili zetu, akikujibu swali naomba unitag mkuu.Sasa kosa la Kamwelwe liko wapi hapo. Una maana angehakikisha breki za noah zinafanya kazi, au?
Tumekuwa wepesi kulaumu sana bila kushirikisha vizuri akili zetu, akikujibu swali naomba unitag mkuu.Sasa kosa la Kamwelwe liko wapi hapo. Una maana angehakikisha breki za noah zinafanya kazi, au?
Amejisifu sio kidogo.
Sasa kamwele alikuwa anaendesha hizo gari.
Ni kweli na nimekuelewa. Siko against maelezo yako kabisa ila niliongelea tu hiyo ajali, kuwa gari likishindwa kupanda mlima ina maana tayari inaashiria kuna tatizo zaidi ya breakMkuu halipandi mlima kwa break..Ila kuna wakati inatokea gari linakosa nguvu ya kupanda mlima hivyo dereva inabidi afunge break ili gari lisimame na lisianze kuporomoka au kurudi nyuma. Hoja yangu ya msingi mimi ilikuwa kutenganisha ajali hiyo na matengenezo ya daraja yanayoendelea.
Ahsante.
Sasa kosa la Kamwelwe liko wapi hapo. Una maana angehakikisha breki za noah zinafanya kazi, au?