Morogoro: Ajali mbaya yatokea kwenye daraja la Kiyegea, watu watano wafariki dunia

Morogoro: Ajali mbaya yatokea kwenye daraja la Kiyegea, watu watano wafariki dunia

Hili neno ''kufeli breki'' ni msemo unaotumika kuficha uzembe na kutowajibika. Upigwe marufuku kabisa. Kulingana na maelezo ya mwanzisha thread lori lilikuwa linapanda kilima. Sasa tujiulize, linatumia breki kupanda kilima? Sidhani. Itakuwa na ubovu wa gari.
Mkuu halipandi mlima kwa break..Ila kuna wakati inatokea gari linakosa nguvu ya kupanda mlima hivyo dereva inabidi afunge break ili gari lisimame na lisianze kuporomoka au kurudi nyuma. Hoja yangu ya msingi mimi ilikuwa kutenganisha ajali hiyo na matengenezo ya daraja yanayoendelea.
Ahsante.
 
Sasa kosa la Kamwelwe liko wapi hapo. Una maana angehakikisha breki za noah zinafanya kazi, au?
serekali inapaswa kuhakikisha kuwa nchini kunakuwepo na "annual comprehensive vehicle inspection program" kwa ajili ya road worthiness kwa magari yote kabla hayajaruhusiwa kutembea barabarani.
 
Duuu tuwaombee majeruhi jamani
Inasemekena daraja lililo katika wilaya ya kilosa eneo la kiyegeya jioni hii kuna ajali mbaya kati ya lori la sementi na noah ya abiria iliyo kuwa inaelekea gairo

Inasemekana baada ya lori kuvuka daraja na kuanza kupandisha kimlima cha daraja ika fail brake noah nayo ilikuwa nyuma ndio ika pitiwa
hebu mliopo eneo hilo mtupe updates.

In God we Trust
 
serekali inapaswa kuhakikisha kuwa nchini kunakuwepo na "annual comprehensive vehicle inspection program" kwa ajili ya road worthiness kwa magari yote kabla hayajaruhusiwa kutembea barabarani.
Huu unaitwa upuuzi mtupu.
 
Taarifa ndiyo hiyo kaileta. Au wewe unataka taarifa ya aina gani?
Kwanini umekimbilia kuleta taarifa wakati huna taarifa kamili??

In God we Trust
 
Nyie mnaommwambia mleta uzi 'tulia uandike vizuri' na 'unakimbilia wapi' ni wapuuzi wakubwa, nendeni mkalete taarifa nyie, nguchiro ninyi.
Ubarikiwe sana kiongozi maana kuna mijitu humu kila kitu ni kupinga

In God we Trust
 
This is what we wanted...

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Back
Top Bottom