Morogoro: Ajali mbaya yatokea kwenye daraja la Kiyegea, watu watano wafariki dunia

Morogoro: Ajali mbaya yatokea kwenye daraja la Kiyegea, watu watano wafariki dunia

Sasa kosa la Kamwelwe liko wapi hapo. Una maana angehakikisha breki za noah zinafanya kazi, au?
Hilo daraja limejengwa bila kuzingatia usalama wa wavukaji
Daraja liko chini halafu lina vichuguu vya kufa nyani pale unapoingia na kutoka

Limejengwa kwa kiki tu mimi nilijua tu kutatokea ajali za hatari
 
Hilo daraja limejengwa bila kuzingatia usalama wa wavukaji
Daraja liko chini halafu lina vichuguu vya kufa nyani pale unapoingia na kutoka

Limejengwa kwa kiki tu mimi nilijua tu kutatokea ajali za hatari
Akili za kilisu lisu hizi.
 
Afadhali waondoke na tuwaombee kwenye huo mto au ziwa watakapo kuwa wanapiga mbizi wakutane na mamba aongee nao
MATAGA wenzio wameanza kujiandaa kupiga mbizi kuelekea Comoro after October 2020!

In God we Trust
 
Anataka awe wa kwanza kutoa UZI[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujumbe umekamilika na unajieleza wewe kama hujaelewa subiri waandishi wa habari wakuletee kwa ufasaha unao utaka wewe mimi si muandishi wa habari tusichoshane kwa kujifanya wajuaji

mnaacha kufuatilia tukio lililo ripotiwa manaaza kuhangaika namtoa mada uradhani tupo kwenye mashindano ya kutafuta ripota bora, jinga kabisa akili ndogo.
 
serekali inapaswa kuhakikisha kuwa nchini kunakuwepo na "annual comprehensive vehicle inspection program" kwa ajili ya road worthiness kwa magari yote kabla hayajaruhusiwa kutembea barabarani.
Ni zoezi ghali sana kufanya ndo mana sticker za usalama zinauzwa tu kiholela wala hukaguliwi. Cha msingi, ukiwa driver kuna simple skills za kuelewa...... lori ya mizigo ni mashine kubwa, kma uko nyuma yake na inapandisha kilima kaa umbali wa kutosha likitokea lolote ureact kwa muda kuokoa maisha sio unalifata pua na mdomo kma daladala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂😂...so nwana anawenge sana...labda anaogopa kufa...

Ila mwna umezingu kinomaa...atawezaje kutuma akiwa kwenye hiyo noah

Lugha gani hii?

Maana kichina si kichina.....

Nikafikiri labda kiarabu, nako imekataa kabisa.....!!!

Umeandika kwa lugha gani hapa weweeeee???
 
Back
Top Bottom