Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,898
- 40,547
Akili za kilisu lisu hizi.
Mamba gani?Na huko lazima mkutane na mamba..
Shauri yako.Wewe zako za ki pole pole
In God we Trust
Kuna mtu anaitaka hyo nafasi yake,na Tayar ameshatia kafara LA nguvu,
serekali inapaswa kuhakikisha kuwa nchini kunakuwepo na "annual comprehensive vehicle inspection program" kwa ajili ya road worthiness kwa magari yote kabla hayajaruhusiwa kutembea barabarani.
Huu unaitwa upuuzi mtupu.
halina ughali wowote (si kwa serekali wala consumers). it just needs intelligent coordination - which unfortunately under this regime it's starkly conspicuous in its absence!Ni zoezi ghali sana kufanya ndo mana sticker za usalama zinauzwa tu kiholela wala hukaguliwi. Cha msingi, ukiwa driver kuna simple skills za kuelewa...... lori ya mizigo ni mashine kubwa, kma uko nyuma yake na inapandisha kilima kaa umbali wa kutosha likitokea lolote ureact kwa muda kuokoa maisha sio unalifata pua na mdomo kma daladala
Sent using Jamii Forums mobile app
"traffic" kama ulivyowaita huwaga hawafanyi chochote, wao wanakusanya hela tu za "maendeleo".Haya si yanafanywa na Traffic kila siku. Au kazi yao ni kukomba buku kumi kumi LoL!
Ni serikali si serekalihalina ughali wowote (si kwa serekali wala consumers). it just needs intelligent coordination - which unfortunately under this regime it's starkly conspicuous in its absence!
one feasible option is to go for PPP... the rest will just fall in place.
lakini it needs sanity from those in the corridors of decision making. another tough call!
whatever!!Ni serikali si serekali
kumbe Na wewe ni flNyie mnaommwambia mleta uzi 'tulia uandike vizuri' na 'unakimbilia wapi' ni wapuuzi wakubwa, nendeni mkalete taarifa nyie, nguchiro ninyi.
Mamba gani?
Ndio, tena ni wa kipuuzi kweli kweli....ushauri wa muhimu kama huo unaita wa kipuuzi kweli??..
Which crocodile?Crocodile
In God we Trust
Nchi hii tumekuwa na shida ya vijana wenye akili! Mavijana yamekuwa bure kabisa, kila kitu kujibu kwa mihemko tu! Bure kabisa!Nyie mnaommwambia mleta uzi 'tulia uandike vizuri' na 'unakimbilia wapi' ni wapuuzi wakubwa, nendeni mkalete taarifa nyie, nguchiro ninyi.
Inasemekena daraja lililo katika wilaya ya kilosa eneo la kiyegeya jioni hii kuna ajali mbaya kati ya lori la sementi na noah ya abiria iliyo kuwa inaelekea gairo
Inasemekana baada ya lori kuvuka daraja na kuanza kupandisha kimlima cha daraja ika fail brake noah nayo ilikuwa nyuma ndio ika pitiwa
hebu mliopo eneo hilo mtupe updates.
Mpaka nijue Noah ni ya nani na Lori ni la Nani ndio nita commentInasemekena daraja lililo katika wilaya ya kilosa eneo la kiyegeya jioni hii kuna ajali mbaya kati ya lori la sementi na noah ya abiria iliyo kuwa inaelekea gairo
Inasemekana baada ya lori kuvuka daraja na kuanza kupandisha kimlima cha daraja ika fail brake noah nayo ilikuwa nyuma ndio ika pitiwa
hebu mliopo eneo hilo mtupe updates.