Duh!Inasemekena daraja lililo katika wilaya ya kilosa eneo la kiyegeya jioni hii kuna ajali mbaya kati ya lori la sementi na noah ya abiria iliyo kuwa inaelekea gairo
Inasemekana baada ya lori kuvuka daraja na kuanza kupandisha kimlima cha daraja ika fail brake noah nayo ilikuwa nyuma ndio ika pitiwa
hebu mliopo eneo hilo mtupe updates.
Kwanini umekimbilia kuleta taarifa wakati huna taarifa kamili??Inasemekena daraja lililo katika wilaya ya kilosa eneo la kiyegeya jioni hii kuna ajali mbaya kati ya lori la sementi na noah ya abiria iliyo kuwa inaelekea gairo
Inasemekana baada ya lori kuvuka daraja na kuanza kupandisha kimlima cha daraja ika fail brake noah nayo ilikuwa nyuma ndio ika pitiwa
hebu mliopo eneo hilo mtupe updates.
KakKwanini umekimbilia kuleta taarifa wakati huna taarifa kamili??
Sasa kosa la Kamwelwe liko wapi hapo. Una maana angehakikisha breki za noah zinafanya kazi, au?
Inasemekena daraja lililo katika wilaya ya kilosa eneo la kiyegeya jioni hii kuna ajali mbaya kati ya lori la sementi na noah ya abiria iliyo kuwa inaelekea gairo
Inasemekana baada ya lori kuvuka daraja na kuanza kupandisha kimlima cha daraja ika fail brake noah nayo ilikuwa nyuma ndio ika pitiwa
hebu mliopo eneo hilo mtupe updates.
Kafara hiyooooNyie mnaommwambia mleta uzi 'tulia uandike vizuri' na 'unakimbilia wapi' ni wapuuzi wakubwa, nendeni mkalete taarifa nyie, nguchiro ninyi.
Tulia Basi uandike vizuri taarifa hii au nawewe uko kwenye hiyo Noah?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini umekimbilia kuleta taarifa wakati huna taarifa kamili??
Hao ni vilazaNyie mnaommwambia mleta uzi 'tulia uandike vizuri' na 'unakimbilia wapi' ni wapuuzi wakubwa, nendeni mkalete taarifa nyie, nguchiro ninyi.
HajielewiSasa kosa la Kamwelwe liko wapi hapo. Una maana angehakikisha breki za noah zinafanya kazi, au?
Sasa kamwele alikuwa anaendesha hizo gari.
Kwa maelezo ya mtoa mada suala ni kushindwa kwa breki na sio daraja.
Hili neno ''kufeli breki'' ni msemo unaotumika kuficha uzembe na kutowajibika. Upigwe marufuku kabisa. Kulingana na maelezo ya mwanzisha thread lori lilikuwa linapanda kilima. Sasa tujiulize, linatumia breki kupanda kilima? Sidhani. Itakuwa na ubovu wa gari.Kwa maelezo ya mtoa mada suala ni kushindwa kwa breki na sio daraja.
Hivi Kamwele aliokotwa wapi ?