Morogoro: Ajali mbaya yatokea kwenye daraja la Kiyegea, watu watano wafariki dunia

Mkuu halipandi mlima kwa break..Ila kuna wakati inatokea gari linakosa nguvu ya kupanda mlima hivyo dereva inabidi afunge break ili gari lisimame na lisianze kuporomoka au kurudi nyuma. Hoja yangu ya msingi mimi ilikuwa kutenganisha ajali hiyo na matengenezo ya daraja yanayoendelea.
Ahsante.
 
Sasa kosa la Kamwelwe liko wapi hapo. Una maana angehakikisha breki za noah zinafanya kazi, au?
serekali inapaswa kuhakikisha kuwa nchini kunakuwepo na "annual comprehensive vehicle inspection program" kwa ajili ya road worthiness kwa magari yote kabla hayajaruhusiwa kutembea barabarani.
 
Duuu tuwaombee majeruhi jamani
In God we Trust
 
serekali inapaswa kuhakikisha kuwa nchini kunakuwepo na "annual comprehensive vehicle inspection program" kwa ajili ya road worthiness kwa magari yote kabla hayajaruhusiwa kutembea barabarani.
Huu unaitwa upuuzi mtupu.
 
Taarifa ndiyo hiyo kaileta. Au wewe unataka taarifa ya aina gani?
Kwanini umekimbilia kuleta taarifa wakati huna taarifa kamili??

In God we Trust
 
Nyie mnaommwambia mleta uzi 'tulia uandike vizuri' na 'unakimbilia wapi' ni wapuuzi wakubwa, nendeni mkalete taarifa nyie, nguchiro ninyi.
Ubarikiwe sana kiongozi maana kuna mijitu humu kila kitu ni kupinga

In God we Trust
 
This is what we wanted...

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…