Hilo daraja limejengwa bila kuzingatia usalama wa wavukajiSasa kosa la Kamwelwe liko wapi hapo. Una maana angehakikisha breki za noah zinafanya kazi, au?
Akili za kilisu lisu hizi.Hilo daraja limejengwa bila kuzingatia usalama wa wavukaji
Daraja liko chini halafu lina vichuguu vya kufa nyani pale unapoingia na kutoka
Limejengwa kwa kiki tu mimi nilijua tu kutatokea ajali za hatari
Tulia Basi uandike vizuri taarifa hii au nawewe uko kwenye hiyo Noah?
Sent using Jamii Forums mobile app
.....Sasa kosa la Kamwelwe liko wapi hapo. Una maana angehakikisha breki za noah zinafanya kazi, au?
Bado corona haijakuteketeza tu wewe kunguni?
Unaonekana na wewe ni mwandishi mzur wa pande hizooo...maanake hauwezi kujua yote hayoMkuu naona umehamishia uandishi wa watoto wa facebook huku jf?
Wakati siku ile anapewa vidonge alikuwa mdogo kama piritonWanapenda kamera sana awamu hii. Alikuwa anazungumza upupu ambao hauna maana.
MATAGA wenzio wameanza kujiandaa kupiga mbizi kuelekea Comoro after October 2020!
Mimi nisingekubali kudhalilika vile ningejiuzulu.Wakati siku ile anapewa vidonge alikuwa mdogo kama piriton
In God we Trust
Sasa kosa la Kamwelwe liko wapi hapo. Una maana angehakikisha breki za noah zinafanya kazi, au?
Ujumbe umekamilika na unajieleza wewe kama hujaelewa subiri waandishi wa habari wakuletee kwa ufasaha unao utaka wewe mimi si muandishi wa habari tusichoshane kwa kujifanya wajuaji
UziNimewaza kama wewe, mtu huna uhakika ndo kwanza inasemekana alafu unakimbilia kuleta uzi huku, je kama sio kweli?
i
Kak
Ni zoezi ghali sana kufanya ndo mana sticker za usalama zinauzwa tu kiholela wala hukaguliwi. Cha msingi, ukiwa driver kuna simple skills za kuelewa...... lori ya mizigo ni mashine kubwa, kma uko nyuma yake na inapandisha kilima kaa umbali wa kutosha likitokea lolote ureact kwa muda kuokoa maisha sio unalifata pua na mdomo kma daladalaserekali inapaswa kuhakikisha kuwa nchini kunakuwepo na "annual comprehensive vehicle inspection program" kwa ajili ya road worthiness kwa magari yote kabla hayajaruhusiwa kutembea barabarani.
Mimi nisingekubali kudhalilika vile ningejiuzulu.
πππππ...so nwana anawenge sana...labda anaogopa kufa...
Ila mwna umezingu kinomaa...atawezaje kutuma akiwa kwenye hiyo noah
Endelea kuota, siwezi nikakuzuia.