Morogoro: Ajali mbaya yatokea kwenye daraja la Kiyegea, watu watano wafariki dunia

serekali inapaswa kuhakikisha kuwa nchini kunakuwepo na "annual comprehensive vehicle inspection program" kwa ajili ya road worthiness kwa magari yote kabla hayajaruhusiwa kutembea barabarani.

Haya si yanafanywa na Traffic kila siku. Au kazi yao ni kukomba buku kumi kumi LoL!
 
halina ughali wowote (si kwa serekali wala consumers). it just needs intelligent coordination - which unfortunately under this regime it's starkly conspicuous in its absence!

one feasible option is to go for PPP... the rest will just fall in place.

lakini it needs sanity from those in the corridors of decision making. another tough call!
 
Haya si yanafanywa na Traffic kila siku. Au kazi yao ni kukomba buku kumi kumi LoL!
"traffic" kama ulivyowaita huwaga hawafanyi chochote, wao wanakusanya hela tu za "maendeleo".

na si kwamba hawafanyi kwa vile hawataki kufanya - NO - bali hawana teknolojia inayohitajika.

this is where you need intelligent thinking from those in the corridors of decision making, whose key advisors (unfortunately) happen to be the likes of Bashite, Musiba, etc.
 
Ni serikali si serekali
 
Nyie mnaommwambia mleta uzi 'tulia uandike vizuri' na 'unakimbilia wapi' ni wapuuzi wakubwa, nendeni mkalete taarifa nyie, nguchiro ninyi.
Nchi hii tumekuwa na shida ya vijana wenye akili! Mavijana yamekuwa bure kabisa, kila kitu kujibu kwa mihemko tu! Bure kabisa!
 
Jamaa so katoka kujisifia jana2?,siasa mbaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka nijue Noah ni ya nani na Lori ni la Nani ndio nita comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…