Morogoro: Ajali mbaya yatokea kwenye daraja la Kiyegea, watu watano wafariki dunia

Masaa kadha yamepita toka taarifa ya ajali imetolewa humu hakuna update,
Hii taarifa sahihi!
 
Sasa kamwele alikuwa anaendesha hizo gari.

Ushauri wa bure Kamwele angeachia ngazi mapema kupisha vijana na barabara zao ama sivyo Presha inaweza mshinikiza akawa mgeni wao kabla ya muda
 
Ni kweli na nimekuelewa. Siko against maelezo yako kabisa ila niliongelea tu hiyo ajali, kuwa gari likishindwa kupanda mlima ina maana tayari inaashiria kuna tatizo zaidi ya break
 
Reactions: BRN
Nawa~Zoom πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€
JPM
 
Pole Sana wafiwa, roho za marehemu wapumzike kwa amani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…