Morogoro Kusini, Wilaya masikini kuliko zote Tanzania


Usijal kamanda mtesi hatesi akafuluriza
 
Kweli kabisa yani morogoro hasa hapo matombo ni kwetu lakini maendeleo hakuna kabisa nae kikubwa elimu kwani watu hawana mwamko kabisa na wanasiasa sio waminifu wamechukulia udhaifu kweli inauma sana .,ila kubadili hali hio hapa matombo kwanza watu wapate elimu..naomba watu na asasi mbalimbali watusaidie .
 
Huko si ndio Prosper Mmbena waziri mtarajiwa na aliyekuwa katibu wa JK anatokea?
 
Nmefanya kazi kituo cha afya mvuha, kisha dutumi. Ingawa kwa sasa nimehama wilaya hii kikazi ingawa bado naishi huku na familia yangu. Huku hali ni mbaya sana janani
nikiwa natoka kisaki kuja moro mjini huwa natumia kulala gesti hapo mvuha ya mwarabu flani mkulima...ni mwaka 2009 yaan hamna usafiri unaoanzia kisaki to moro mjini lazma mlale mvuha na au matombo.

vipi unamfahamu kashashi wa kisaki stendi???
 
ukweni kwangu huko. (mtambachini) na leo nipo huku nimetembea. . hali ni mbaya sana. . na kuna mazao muhm km karafuu,ufuta,plplmtama,tangawiz,mpunga . .na madini kibao lakin hali ni mbaya. sana khs ccm hk ndo ofisini kwao. kwan weng wanadai tukiwapa nchi wapinzani kutatokea vita. . . '
 
Kama Moro mjini pako pako tu unategemea nini huko kwengine?
 
Mimi nimesoma Mzumbe Secondary, nilishangaa sana kuona wakazi wa maeneo ya Jirani na shule walkija shuleni kwetu kukusanya makombo na kuyala. Mwanzoni nilihisi wanapeleka kwa Kuku au Nguruwe lakini sikuwa sahihi. Unamkuta mama baba na watoto wamekaa foleni kukusanya Makombo kwaajili ya kula!! Mzumbe ipo wilaya ya Mvomero.
 
Wilaya hii makao makuu yake yapo moro mjini kwa kuwa watendaji wengi wa wilaya hii wanakwepa maisha ya dhiki yasiyo stahili kuishi binadamu ndani ya wilaya.

basi haina budi kwa Raisi kuwa 'shtukiza'.

Waambie tumewaweka kiporo. Wasipoangalia vizuri wanaweza kuwa wilaya tajiri baada ya masaa 24.
 
niliposoma hapo kwenye uonevu nikajua u-mpuuzi. kama hutaki hata kutunza vyanzo vya maji basi wewe ni -----. bora ungeongelea namna ingine ya kutunza badala ya kuwalipisha hao watu lakini sio kupinga kutunza. u-mpuuzi wewe.
 

Ukiacha visiwa vya zanzibar wilaya hii ndiyo pekee inazalisha karafuu kwa wingi sana lakini ndiyo hivyo hakuna masoko. Kuna bonde la mtukila hapo karibu na mtamba chini njia ya kwenda konde.
 
niliposoma hapo kwenye uonevu nikajua u-mpuuzi. kama hutaki hata kutunza vyanzo vya maji basi wewe ni -----. bora ungeongelea namna ingine ya kutunza badala ya kuwalipisha hao watu lakini sio kupinga kutunza. u-mpuuzi wewe.
Shida ya sisi watanzania ni kujifanya kujua kila kitu. Hali iliyopo huku ni kama kila kaya na si kata kulipia shilingi 1000 kwa huduma ya mto au kijito kilichopo kwa kampuni hiyo tajwa hapo wakati utunzaji wenyewe unafanywa na wananchi wenyewe kwa hiyo hilo ni dili la kupiga hela za wanyonge. Usikurupuke kutukana watu pasi kujua mantiki ya jambo ubabe kamletee mkeo na watoto wako hii jf home of great thinkers bwe.ge we.
 

niliposoma hapo kwenye uonevu nikajua u-mpuuzi. kama hutaki hata kutunza vyanzo vya maji basi wewe ni -----. bora ungeongelea namna ingine ya kutunza badala ya kuwalipisha hao watu lakini sio kupinga kutunza. u-mpuuzi wewe.

Mimi ndiyo maana nilimdharau mkuu mfizigo. Jitu lipo kwao huko ushirombo linataka lizungumzie maisha ya watu huku Mji kasoro.
 

Morogoro hakuna wilaya yenye jina kama hilo, acha kupotosha Wananchi! Labda ungesema jimbo napo bado hakuna jina kama hilo. Wilaya inaitwa Morogoro Vijijini yenye Majimbo ya Morogoro Kusini Mashariki na Morogoro Kusini Magharibi.
 
Morogoro hakuna wilaya kama hiyo acha kupotosha Wananchi!

Ukiangalia vizuri ndani ya post nimefanya editing lakini heading inagoma. Nimemaanisha wilaya ya Morogoro vijijini. Morogoro kusini ni jimbo la uchaguzi mkuu.
 
Duh! aisee hii sasa kali zaidu huko mimi kwetu kabisa ni pale lundi karibu na njia panda ya kwenda ngong'olo
 
Ukitaka kujua watu ni wajinga kiasi gani angalia asilimia ya kura za sisiem kwa eneo hilo.
 
Daaah sina cha kuchangia nalijua hilo eneo vizuri bibi yangu ni mzawa wa Kiswila so stend yetu ni Msalabani enzi zangu nilikuwa napenda kuja huko sababu ya utajiri wa eneo hilo tulikuwa tunaoga mto MFIZIGO,matunda ya kumwaga,ardhi yenye rutuba hapo ndio naiona ile HOJA YA UZAWA.....lazima wazawa wapewe nafasi just imagine WILAYA HAINA OFISI ZA WILAYA sababu wakuja wanaogopa mazingira ya wenyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…