Uchaguzi 2020 Morogoro: Mgombea ubunge wa CHADEMA Bi Devotha Minja awatoroka Polisi waliotaka kumkamata, gari lake lakamatwa

Ofisi za tume Manispaa ya Morogoro zimezingirwa na Polisi lengo ni Devota akitia mguu tu wamkamate kabla hajarudisha fomu ya uteuzi
 
Watanzania bwana tunachekesha sana,yaani wengine wanatumia mapanga,mashoka,visu na mabunduki wewe unasuggest watumia makamera kurecord matukio,then wakisharecord wampelekee Nani? Kwa akili hizi mtauwawa sana
 
Tatizo sio watanzania tatizo ni chama Cha Mapinduzi na serikali yake hi si ya kumung'unya bro. Chama kimekua chaki mafia
 
Tatizo sio watanzania tatizo ni chama Cha Mapinduzi na serikali yake hi si ya kumung'unya bro. Chama kimekua chaki mafia

Hicho chama nacho kimeundwa na Watanzania pia.

Kwa hiyo Watanzania ndiyo tatizo. Chama kipo kwenye makaratasi ya kumbukumbu
 
CCM kila kukicha mnajisifu mmenunua mandege na kujenga flyover sasa mbona mmepanic na kuanza kuhujumu wagombea wa upinzani???
 
Devota Minja mjanja Fulani Kuna tetesi alienda kutaka kuuza hiyo fomu alipwe akabidhi kwa mnunuzi Kisha asingizie kaporwa alipoona Takukuru wanafuatilia akaingia mitini
Hiyo ilishabuma tafta gia nyingine na mwaka huu mtanyooka tu machoko nyinyi
 
Hicho chama nacho kimeundwa na Watanzania pia.

Kwa hiyo Watanzania ndiyo tatizo. Chama kipo kwenye makaratasi ya kumbukumbu
Kaka mwenyekiti was CCM akiamua kukemea kwa jinsi anavyokubalika na kuheshimika unadhani haya maswala yangekuwepo leo??
Unajua ushawishi na mamlaka ya kiongozi wewe??
Ujue unazunguka mbuyu bro!
 
Polisi kameti wahalifu wote bila kujali Nafasi zao katika jamii..
Hatutaki Tanzania ya Wahuni Wahuni Sisi.
 
Tutaheshimiana tukipigana

Mtu mmoja ameuawa asubuhi hii na wengine wawili kufanikiwa kutoroka baada ya kujaribu kumteka mgombea udiwani wa kata ya Bwisha Ukara kwa tiketi ya CHADEMA.
 
Anza kurusha ngumi tukuone kwanza ili tukuige

Mtu mmoja ameuawa asubuhi hii na wengine wawili kufanikiwa kutoroka baada ya kujaribu kumteka mgombea udiwani wa kata ya Bwisha Ukara kwa tiketi ya CHADEMA.
 
Ndio uwalaumu polisi wa nchi hii kwa upumbav wao na kutofuata sheria!Imekuwa kawaida wapinzani kukamtwa bila kuambiwa wamekamatwa kwa sababu gani na kuswekwa ndani mpaka pale watakapojisikia!
 
Devota Minja mjanja Fulani Kuna tetesi alienda kutaka kuuza hiyo fomu alipwe akabidhi kwa mnunuzi Kisha asingizie kaporwa alipoona Takukuru wanafuatilia akaingia mitini
Pumbav zenu,unaona hiki ulichoandika kina mantiki?Unakaa ndani kutunga uongo kwa manufaa ya nani?Stupid
 
Hivi na wewe umesoma?
Hivi hujawahi kusikia mtu kakamatwa kwa sababu zisizojulikana
Japo ni kinyume cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai sura 20
 
Kwani mleta mada ndiyo OCD/OCS? Mnauliza maswali tenge kama watoto.
 
Moyo wa upendo
Moyo usio na hila
Nashindwa niandike nini naona Tanzania yangu ikitumbukia shimoni taratibu madaraka yasitufanye tukose utu
Siasa zitapita ila Tanzania itaendelea kubaki chuki tunayo ijenga Leo ni hatari sana kwa nini chama changu tunakuwa waoga kiasi hiki
 
Devotha Minja?!!!!!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Haya Msiyemjua..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…