Morogoro mjini: Mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CHADEMA Bi Devotha Minja arejeshwa rasmi na NEC

Morogoro mjini: Mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CHADEMA Bi Devotha Minja arejeshwa rasmi na NEC

Acha uongo gabacholi hawezi kuwa mtanzania wewe ndiyo maana anaficha hela Panama huko maana anajua hapa siyo kwao.
Uongo Upi?!!

Kwako Utanzania ni Kabila ama race?!!!

Hukumwelewa Mwalimu JKN aliposhawishiwa na kukataa MAWAZO ya Wahafidhina koko,baada tu ya UHURU.....

Endelea Kutafuta kura KIBAGUZI....
 
Yaani Abood na hela zote hizo na mustache kama Saddam Hussein , halafu anaogopa kushindwa na mwanamke .
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wachaga wakagombee kwao waache kutusumbua
Ng'ombe kabisa we Jamaa..... Ipi bora mtz huyo aliyezaliwa Moro au mhindi anayekuibia raslimali zako kwa vile tu ni ccm?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nimefurahi Devotha kurejeshwa. Lkn bado NEC ina deni kubwa kwa watanzania hadi hapo itakapo warejesha wagombea wote wa vyama vya upinzani.
 
Uongo Upi?!!

Kwako UTANZANIA ni Kabila ama race?!!!

Hukumwelewa Mwalimu JKN aliposhawishiwa na kukataa MAWAZO ya Wahafidhina koko,baada tu ya UHURU.....

Endelea Kutafuta kura KIBAGUZI....
Utanzania ni kabila. Nyerere alimpa uwaziri Jamal matokeo yake akaukana Utanzania na kuwa m-Canada hadi kazikwa huko.

Narudi tena mhindi siyo mtanzania kamwe. Labda awe mwarabu siyo Mhindi. Wahindi karibu wote wa Tanzania wana uraia pacha ama wa India/Pakistan, UK au Canada.
Wanajibanza ccm ili waibe na kulindwa. Hawana jema kwa nchi hii.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hii kitu wangeifanya CCM kutopita bila kupingwa ingewapa Kura nyingi Ila kwa Sasa itawaharibia Sana, maana nimeona waliopita bila kupingwa wanazunguka tu kwa raha zao.
 
Kamwambieni Abood kuwa asiyempenda kaja, atoke mafichoni akanadi sera.

Devotha wa Chadema ni mgombea halali wa jimbo hilo
View attachment 1569908
Hongera kamanda, ulipambana mpaka ukalala ndani!


Ruangwa, Kongwa na Kilosa vipi, uchunguzi haujakamilika tu?

BUSARA WAGOMBEA UBUNGE WOTE WAREJESHWE.
 
Nimefurahi Devotha kurejeshwa. Lkn bado NEC ina deni kubwa kwa watanzania hadi hapo itakapo warejesha wagombea wote wa vyama vya upinzani.
Na kuwaondoa wasimamizi wote walio sababisha huu udumbufu. Maana kuna mashaka pia ya kutawangaza waki shinda.
 
Back
Top Bottom