Morogoro mjini: Mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CHADEMA Bi Devotha Minja arejeshwa rasmi na NEC

Morogoro mjini: Mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CHADEMA Bi Devotha Minja arejeshwa rasmi na NEC

Abood kawateka sana morogoro.
Kwenye msiba anatoa mabasi

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mabasi ya Abood ya kuzikia ni kafara ya kibiashara. Tangu yaanze kuzika bure ajali za barabarani za mabasi yake zimepungua sana. Awali alikuwa anachinja ng'ombe kama kafara. Kafara ya ng'ombe haikusaidia sana.
 
Tume inajiaibisha na kujitia doa baya mno, yaani inajivua nguo kwa kukurupuka kwa maamuzi mshenzi ya kumkata mgombea baada ya mlengwa kukata rufaa inamrudisha means alikuwa sahihi tume ndo ilikosea.
Hivi tume ikikosea inawajibishwa vipi na wapi? Ili yasijejirudia makosa upande wa.
Muda wa tume kupitia malalamiko ya wakata rufaa wote je unatosha kujiridhisha na unafidiwaje? Manake kampeni zimeanza tayari wengine rufaa hazijatoka.
Tume ijitafakari sana
 
Ndo hivyo.ni ngumu kumgombanisha abood na morogoro

Back
Top Bottom