Morogoro ndio mkoa uliotoa vipaji vingi Tanzania kuliko mikoa mingine.

Ahahaha,mkuu uliishi Moro mitaa gani,
 
Tunaongelea talent kuanzia 1961 mpaka leo hebu wataje?
1.Sumalee
2 Cpwaa{halifa ilunga}
3 Matonya{Sefu Shabani}
4 Kassim Mganga
5 Wagosi wa Kaya
6 Ring 2be aka Pete{Rashidi Ngayama}
7 Mwana FA{Hamisi Mwinjuma}
8 Bwana Misosi
9 Q Chilla{Abubakari Katwila}
10 MB Doggy{Mbwana}
11 R.O.M.A{Ibrahim Mussa}
12 Top C
13 Dr Karim
14 John Walker
15 Gelly wa rhym
16 Hemed Phd{Hemed Suleiman}
17 Sharomillionear{Mohamed Mtikey}
18 Danny Msimamo
19.kusah
20.ruby
21.platfom Tz
22.producer bonga
23.y Dash
24.TNG SQUARD jimbo bongo.com iikuwa National anthem
25.mwandei
List ni ndefu haya leta hapa hiyo ni bongo fleva sijafika kweny band ,dance wala taarabu
 
Kigoma unaiacha wapi?
 
Morogoro ni namba moja, hilo nadhani halina mjadala.
Miaka ya tisini tulikuwa tunaenda uwanja wa jamuhuri kuangalia mpira,Sasa tunakuwa hatuna pesa ya kiingilio, tukawa tunapenya kwenye mifereji ya kutolea maji nje ya uwanja, tulikuwa na hatari, Kuna mshkaji mmoja alivunjikaga mguu, alipanda ukuta wa uwanja kwa nje hili aingie ndani ya uwanja, eeh bwana hile anamaliza ukuta kwa ndani akachezea virungu vya Askari akajikuta amedondokea Tena nje na kuvunjika miguu,

Nilikuwaga na mshkaji wangu mmoja alikuwaga Refa wa ligi kuu,sijui alifiaga wapi yule mwamba, alikuwa anaitwa Mwarabu mumba
 
Morogoro jazz band
Ilianzishwa mwaka 1930 ndio band yakwanza Tanzania nzima na ndio chimbuko la band zote Tanzania. Mziki ulizaliwa morogoro na mpira ulizaliwa morogoro wengine wote wanafata.
Hata Fifa pia ilizaliwa Morogoro.
 
Mwenye listi kamili ya Morogoro kuanzia kwa akina Hayati Mbaraka Mwinshehe tunaomba aiweke hapa.
 
Vipaji gani? Vya kama wakina Thomas Edson?
 
Mwenye listi kamili ya Morogoro kuanzia kwa akina Hayati Mbaraka Mwinshehe tunaomba aiweke hapa.
😂😂😂 Msanii mkubwa ni afande Sela nakutajia vijana wa ngumi wawili Tena wadigo wakipigana nje mwakinyo na Salim mtango

Tanga ni talents walimake hit ukikuta top ten ya ngoma mb Tanga wasanii hata wanne enzi izo tuongee ukweli ,nilikuwa enzi nakaa Tanga nawaona sana wakina j plus sijui na seba Kuna jamaa alikuwa anaitwa kaini wakifanya mazoezi ya movie pal mkwakwani kipind icho chuchu hansy ni mdogo sana na mzee majuto akiigiza standup comedy pale majestic
 
Tukuyu nayo ilitupa ule Mwamba Godwin Aswille kwa ujumla Bongo Kauntri inavipaji.
 
Tanga vipaji vipo ila sio level za morogoro kwa maana morogoro haijawahi kupokoa hata siku moja kwenye kuzalisha vipaji?
 
Ukiangalia kwenye mabingwa wa nchi upande wa soka ukizitoa timu za dar ni morogoro inafata kwenye kutwa ubingwa.
 
Haya jazz nyingi wakati huo ziliundwa morogoro hata dar ikiwa bado haijachangamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…