Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

Hizo picha hyo stand ya mafiga Haina kazi hamna huduma, tafuta jengo la ghorofa 10 hamna utakutana na magofu ya viwanda viliuawa, na migofu ya national housing imeatawala mjini Morogoro kumbi maarufu Nasheera na Cherry
 
Moro Kuna maghorofa marefu kuliko hata mbeya unayo ijua wewe Kuna mjuba mmoja anataka kujenga jengo lenye ghorofa 20
 
Moro kuzuri kwa urahisi wa kujenga na chakula. Nimeishi Morogoro ,nimesoma Morogoro na tumejenga Moro . Ukitoa shida ya maji pia mzunguko wa pesa ni mdogo sana ...
Maji Moro sio issue ile milima ina maji kuliko bahari ya Hindi, tatizo ni viongozi wa halmashauri hawana akili kabisa zimejaa makamasi matupu, Morogoro sio sehemu ya kukosa maji kabisa
 
Hizo picha hyo stand ya mafiga Haina kazi hamna huduma, tafuta jengo la ghorofa 10 hamna utakutana na magofu ya viwanda viliuawa, na migofu ya national housing imeatawala mjini Morogoro kumbi maarufu Nasheera na Cherry
Huu ni ukweli

Stendi ya mafiga imepoa kabisa
 
Yes suala la maji morogoro ni serious problem nakubaliana na wewe.
 
Sio kweli Arusha ndio mkoa unaofwata
Ha ha ha ha ha ha ha kati mikoa inayo ongoza kuwa na wageni wachache arusha ipo ndo maana bado watu wa arusha mnaongea kiswahili cha kilugha kijana moro mjini utawatafuta warugulu kwa tochi wakati arusha kila upembe wa mji huo wamejaa wachaga
 
Hapo ndio kwetu mimi
 
Ndio Mkoa wenye wahamiaji wengi baada ya DSM.

Mikoa mingine wamejaa wazawa.
Kitendo cha watu wengi kuhamia Mkoa Fulani ni moja ya viashiria kuwa Mkoa huo ni mzuri katika Nyanja mbalimbali za maisha
Sio kweli mkuu..mkoa wa Arusha una watu wengi sana kutoka Kilimanjaro, wamekaba hadi huko vijijini. Pia watu kutoka Singida na Manyara

Mwanza nako kuna watu wengi sana kutoka mkoa wa Mara, Kagera, Geita, Shinyanga, Tabora

Morogoro haina watu wengi pale mjini, na huko vijijini mostly ni wenyeji tu
 
Mchanganyiko wa watu wake upo vizuri hakuna uislam mwingi au Ukristo mwingi yaani upo Neutral.
Tofauti na baadhi ya mikoa ambayo ukifika Kama sio WA dini hiyo unajipanga
Tanga uislam mwingi
 
Ha ha ha ha ha ha ha kati mikoa inayo ongoza kuwa na wageni wachache arusha ipo ndo maana bado watu wa arusha mnaongea kiswahili cha kilugha kijana moro mjini utawatafuta warugulu kwa tochi wakati arusha kila upembe wa mji huo wamejaa wachaga
Wachaga sio wenyeji wa Arusha
 
Morogoro inaizidi Arusha wahamiaji.
Hao wote uliowataja wapo Morogoro,

Arusha hakuna Wandendereko, Wazaramo, Wakwere, hayo makabila nilioyataja Yana msemo usemao hawawezi kuvuka Daraja la Wami kwenda Moshi au Arusha.
Na hawawezi kuvuka Morogoro.

Ikitoka DSM Mkoa unaofuata Kwa wahamiaji wengi ni Morogoro
Arusha labda wageni WA nchi za nje
 
Binafsi Iringa ndio mkoa wangu mzuri kwa kuishi japo nipo Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…