Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

Hongera kwa uandishi mzuri na yote uliyoyazungumzia humu ni sahihi.. nipo Morogoro na nainjoi haya maeneo.
Wapi SamakiSamaki😂😂
 
Morogoro ina asilimia ndogo za Ukimwi kama 5.5%, sisemi haupo bali upo. Ni wa 18 au 19 kimikoa Tanzania. Ukimwi kimikoa, 1. Njombe 16%, 2. Iringa 15, 3. Mbeya 14%, 4. Songea10%, 5. Sumbawanga 9%, 6. Kagera 9%, 7. Dsm 8%, 8. Pwani 8%, ............
 
Morogoro ina 6.5 asilimia za Ukimwi, sisemi haupo bali upo. Ni wa 18 au 19 kimikoa. Ukimwi kimikoa, 1. Njombe 16%, 2. Iringa 15%, 3. Mbeya 14%, 4. Songea10%, 5. Sumbawanga 9% 6. Kagera 9%, 7. Dsm 8%, 8. Pwani 8%, ............
 
Ukiona mpaka mimi kidume naishi moro, jua kuwa huu mkoa ni hatari.

1.Haliya hewa safi.
2.urahisi wa usafiri
3.masoko makubwa ya vyakula
4.Mbususu za kumwaga
5.ujenzi bei rahisi
6.viwanja bei rahisi.
7.ukarimu wa watu
8.hakuna msongamano wa watu


unafanya nini huku BUZURUGA,NANJILINJI

NJOO MORO

Sent from my SM-M307F using JamiiForums mobile app
 
Umezungumzia uhalisia mtoa Uzi amepamba Sana tunaopajua tumetulia ndoo ya maji buku Mkundi na kiyegea hadi Makunganya.
 
Nlikuwaga na kibanda njia ya kwenda kilosa hapo mvumi,njaa zangu nkauzaga....sahv lami imepita hapo
Najutaga sana
Lakini na pia napapenda sana ilonga msalabani kwa kuishi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…