-hujui Sheria ya ndoa, Ugoni adhabu yake ni Fidia, haina haja ya kufika huko, labda tabia ya Ugoni iwe ni repetitive despite protestKifungu kifungu kina nini ndoa imesainiwa kanisani au procedure hawazijui? Usuruhishi unaanza kwa baba paroko mkishwindana uko ndio mnapelekana mahakamani, hukurupuki tu, hio kesi huyo mama anaenda kushindwa vibaya
Ndio maana wakili wa upande wa utetezi kagoma kuizungumzia kwa waandishi maana sheria hawajizui taratibu zinakuaje, hutakiwi kuruka kipengele, au walifunga ndoa kwa mkuu wa mkoa?
Wanataka kugeuza ndoa kama wanyama kujamiiana!- Ndoa haivunjwi kirahisi hivyo, Kuna sabab Lazima ziwepo ndio ndoa ivunjike au ivunjwe.
-huwezi kuoa wakati ndoa nyingine Ina subsist, na wakati ndoa Yako ni ya MKE mmojaHakuna uzinzi
Hakuna kosa
Professor ameoa na nihaki yake kikatiba
(Kama linaloitwa fumanizi) limetokea nyumbani Kwa huyo bank teller angewahi kufungua shtaka mahakamani la uvamizi (trespassing) dhidi ya anayedaiwa kuwa MKE wa Profesa Manyaunyau. Kesi miaka 8-huwezi kuoa wakati ndoa nyingine Ina subsist, na wakati ndoa Yako ni ya MKE mmoja
Profesa alitakiwa kufuata utaratibu. Na hatua ya kwanza ni kubatilisha ndoa ya awali. Failure to do that anampa nguvu ya kisheria huyo mke wa ujana wake.Huyo mwanamke kichwa maji, kamzingua professa hadi kaamua kuvuta kifaa kingine anaishia kutapatapa kudai fidia uchwara.......acha kuni zimuwakie.
😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂Wanaume mkae kwa kutulia, hii mbinu mpya ya kulipwa fidia hii ni zaidi ya ile ya kusubiri pensheni[emoji1787]
Profesa Manyaunyau anaaibisha Taaluma Misitu na NyukiProfesa alitakiwa kufuata utaratibu. Na hatua ya kwanza ni kubatilisha ndoa ya awali. Failure to do that anampa nguvu ya kisheria huyo mke wa ujana wake.
Ndiyo UkweliUkiachwa achika Matrida!...
Prof kaona matiti yameshalala ngoja niwahi kwa bank teller chuchu-konzi, kitu mnatoProfesa alitakiwa kufuata utaratibu. Na hatua ya kwanza ni kubatilisha ndoa ya awali. Failure to do that anampa nguvu ya kisheria huyo mke wa ujana wake.
When it comes to mbususu hadi maprofesa wanachemka!Profesa Manyaunyau anaaibisha Taaluma Misitu na Nyuki
Sheria Ya Ndoa Ya Mwaka 1971 Haijafanyiwa Marekebisho YoyoteKuna sheria za ndoa kwa hivyo issues zinaweza kupelekwa mahakamani
Ha ha ha! Kitu mnato; we jamaa noma!Prof kaona matiti yameshalala ngoja niwahi kwa bank teller chuchu-konzi, kitu mnato
Wangewahi mahakaman kumfungulia matrida kesi ya uvamizi-trespassingWhen it comes to mbususu hadi maprofesa wanachemka!
Kuloweka Jamani Kazi Mno Kwasasa Waandishi WanamchafuaProf kaona matiti yameshalala ngoja niwahi kwa bank teller chuchu-konzi, kitu mnato
Anafinyiwa Kwa NdaniHa ha ha! Kitu mnato; we jamaa noma!
Noma sana.Anafinyiwa Kwa Ndani
Kuloweka hakuna mwenyewe. Si unaona juma-lokolay wahuni wameloweka mpaka kapata private#Kuloweka Jamani Kazi Mno Kwasasa Waandishi Wanamchafua
Hayo Mambo Muda Haupo Walifanya Mapenzi Mpaka MahabaAlternatively, Bank teller alipaswa kuona divorce papers kabla ya kuchanua miguu, mbona ku-withdraw pesa counter hawakupi pesa yako mpaka waone kitambulisho Tena cha NIDDA