Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Kifungu kifungu kina nini ndoa imesainiwa kanisani au procedure hawazijui? Usuruhishi unaanza kwa baba paroko mkishwindana uko ndio mnapelekana mahakamani, hukurupuki tu, hio kesi huyo mama anaenda kushindwa vibaya

Ndio maana wakili wa upande wa utetezi kagoma kuizungumzia kwa waandishi maana sheria hawajizui taratibu zinakuaje, hutakiwi kuruka kipengele, au walifunga ndoa kwa mkuu wa mkoa?
-hujui Sheria ya ndoa, Ugoni adhabu yake ni Fidia, haina haja ya kufika huko, labda tabia ya Ugoni iwe ni repetitive despite protest
 
-huwezi kuoa wakati ndoa nyingine Ina subsist, na wakati ndoa Yako ni ya MKE mmoja
(Kama linaloitwa fumanizi) limetokea nyumbani Kwa huyo bank teller angewahi kufungua shtaka mahakamani la uvamizi (trespassing) dhidi ya anayedaiwa kuwa MKE wa Profesa Manyaunyau. Kesi miaka 8
 
Alternatively, Bank teller alipaswa kuona divorce papers kabla ya kuchanua miguu, mbona ku-withdraw pesa counter hawakupi pesa yako mpaka waone kitambulisho Tena cha NIDDA
Hayo Mambo Muda Haupo Walifanya Mapenzi Mpaka Mahaba
Mwenye Kupenda Haoni Chongo Ataita Kengeza

Kwako Professor Mnara Tunaujenga Wapi
Rais Mteue Huyo
 
Back
Top Bottom