-hujui Sheria ya ndoa, Ugoni adhabu yake ni Fidia, haina haja ya kufika huko, labda tabia ya Ugoni iwe ni repetitive despite protestKifungu kifungu kina nini ndoa imesainiwa kanisani au procedure hawazijui? Usuruhishi unaanza kwa baba paroko mkishwindana uko ndio mnapelekana mahakamani, hukurupuki tu, hio kesi huyo mama anaenda kushindwa vibaya
Ndio maana wakili wa upande wa utetezi kagoma kuizungumzia kwa waandishi maana sheria hawajizui taratibu zinakuaje, hutakiwi kuruka kipengele, au walifunga ndoa kwa mkuu wa mkoa?