Lakini hii haifanyi adaiwe fidia. Prof kama wakati wa kufunga hii ndoa mpya alidanganya kuwa hajaoa, basi anakuwa na kosa la jinai na sio la madai (la kudaiwa fidia)Tatizo ile ya kwanza alifunga ya mke mmoja. Yeye angetalakiana na ndipo angefunga hii mpya.
mama amechemsha huyo, hakuna kundi lenye michepuko kama mahakimu, majaji na mawakili. Hiyo kesi wataitupilia mbali. Amepeleka kesi ya mbuzi kwa machui...kwa kumhurumia watamwambia adai talaka kisha mali walizochuma na mumewe zigawanyweHivi kumbe ugoni unaweza kudai fidia na ukalipwa?
Hapana mkuu, kama ile ya awali ilikuwa ni ya mke mmoja, hii ya pili inakuwa batili hata kama haikupingwa.Ukifunga ya pili ile ya kwanza inakuwa valid sawasawa na hii ya pili ambayo tayari inakuwa imefungwa, ndo maana ndoa zinatangazwa ili kama kuna aliye na pingamizi aweke, ikishafungwa inakuwa notolee hiyo.....
Huwezi jua mke aliharibikiwa vipi baada ya kujua mme kafunga ndoa nyingine bila kumpa yeye talaka. Hiyo jinai nayo ni kesi nyingine.Lakini hii haifanyi adaiwe fidia. Prof kama wakati wa kufunga hii ndoa mpya alidanganya kuwa hajaoa, basi anakuwa na kosa la jinai na sio la madai (la kudaiwa fidia)
Bado unaweza kusema ulishurutishwa...Hapana mkuu, kama ile ya awali ilikuwa ni ya mke mmoja, hii ya pili inakuwa batili hata kama haikupingwa.
Hapana,kwenye vyeti vya ndoa huwa kuna viboksi vya kujaza ,kama ndoa ya mke mmoja ama wake wengi. Sasa kama alitick ya mke moja hapo akioa bila takala ni kosa.Ukifunga ya pili ile ya kwanza inakuwa valid sawasawa na hii ya pili ambayo tayari inakuwa imefungwa, ndo maana ndoa zinatangazwa ili kama kuna aliye na pingamizi aweke, ikishafungwa inakuwa notolee hiyo.....
Hata na wewe mwenyewe ni mweupe, na bush lawyer tu. Ungekuwa mweusi, usingekuwa chawa wa mama.Kuoa Mke mwingine kinyume na mkataba kumbe ni nini?
Wewe ni mweupe haya mambo,Sasa Kwa taarifa Yako hata kama hujaoa Kwa Cheti kabisa Cha ndoa na ukamuacha wa awali ukaoa mwingine anakushitaki vizuri na mashahidi ni majirani wenu ndio utaona moto..
Unatakiwa ujue Kwa sehemu kubwa Sheria za mahusiani zinawalinda wanawake na Watoto,mwanaume huna chako.
Acha nongwa.Hovyo!
Kwani kuwa chawa wa mama Kuna shida gani?Hata na wewe mwenyewe ni mweupe, na bush lawyer tu. Ungekuwa mweusi, usingekuwa chawa wa mama.
😂😂😂😂Kwenye mahamakama za wanyonge. Malipo ni kuku mweupe tu.
Kama fidia ya kudhalilishwa sawa, ila sio hayoxya kuchuma mali, sahauKwani alikuwa housegirl Hadi useme hivyo? Anadai fidia ya kumdhalilisha lipeni
Na Mali atapata maana baada ya hapo taratibu za kuivunja ndoa zitafangika watagawana walichochuma na fidia juu ya kumdhalilishaKama fidia ya kudhalilishwa sawa, ila sio hayoxya kuchuma mali, sahau
Kama alichuma yeye si abaki nazo, nani anamyang’anya kwani?Na Mali atapata maana baada ya hapo taratibu za kuivunja ndoa zitafangika watagawana walichochuma na fidia juu ya kumdhalilisha
Uzi upo tayari Mkuu, NDOA na MATOKEO YAKEFanya hivyo ndugu...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtoto wa Kiha hao hawawezanagi na wasomi. Moto lazma utawaka hapo na wakishindwana kisheria shughuli itahamia Kibondo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fidia ya nini MADAM T ? Kwani Prof. Katelekeza watoto? Kwanza kabisa ugoni between two consenting adults sio offence Tanzania. Cigarete atafute tu wa kumtuliza. Toto la Marangu lilishamzidi mbinu za kulea wahenga.Jiandae kulipa fidia!
Tanzania hii Nani ulishasikia amepigwa faini kwa kuchepuka.Prof atajuta kuchepuka