sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Lakini hii haifanyi adaiwe fidia. Prof kama wakati wa kufunga hii ndoa mpya alidanganya kuwa hajaoa, basi anakuwa na kosa la jinai na sio la madai (la kudaiwa fidia)Tatizo ile ya kwanza alifunga ya mke mmoja. Yeye angetalakiana na ndipo angefunga hii mpya.