Hujui sheria, soma attachment nimeweka hapo. Fidia haimzuii kudai kugawana mali ya ndoa...Sasa mbona hakuna ugoni wowote hapo! Nilichogundua, Matilda Sigaret ni mwanamke mtata (pilipili)! Na asiyetaka kukubali matokeo.
Bora angewekeza nguvu zake kwenye kugawana mali na huyo Profesa (kama waliishi pamoja). Badala ya kutaka kulipwa hela za bure.
Ugoni iko clear kabisaNimeweka attachment ya kesi ya ugoni, soma , professor analo
Sawa mwanasheria wa Matrida Sigalet.hujui sheria, soma attachmenyt nimeweka hapo. Fidia haimzuii kudai kugawana mali ya ndoa...
Yes... kwenye cheti cha ndoa, unasema ndoa yako ni ya aina gani; monogamy, polygamy au potential polygamy. Sasa kama ulisema ndoa yako ni ya mke na mme mmoja; ukiongeza mke bila kuvunja ndoa ya kwanza ni kesi hiyoHivi kumbe ugoni unaweza kudai fidia na ukalipwa?
Unadhani pesa ni sawa na pumbu huyo profesa 1B atatoa wapi?Mbona kadai pesa kiduchu hivyo? Hili ni swala kuharkbiwa hadhi na maisha yake.... Alitakiwa aanzie 0.5bn au hata 1bn .
Ningekuwa mimi ni huyo Kissanga hiyo 0.1bn ningempa bila hata ya kwenda mahakamani.
Majibu mazuri sana,"Kwanza ningejua kuna waandishi ningeweka zuio la waandishi kupata taarifa hizi, hivyo kaandikeni mlichopata kwa wakili huyo mwingine, wateja wangu hawajanipa maelekezo ya kuzungumza nanyi," alisema.
Hahahahaha hakuna cha GPA kwa kweli.Makundi; jimama la kichaga limemkamata profesa vilivyo! Haya mambo hayanaga cha gpa haya.
Hajaongeza mke hapoYes... kwenye cheti cha ndoa, unasema ndoa yako ni ya aina gani; monogamy, polygamy au potential polygamy. Sasa kama ulisema ndoa yako ni ya mke na mme mmoja; ukiongeza mke bila kuvunja ndoa ya kwanza ni kesi hiyo
Upo sahihi mama Matrida ana njaa ya pesa, kashachoka umeachwa pita njia ya kushotoKwa vipi serikali iingilie mambo ya ndoa. Nadhani hizi zinapaswa kumalizia kanisani.
Kajipa pension ya Milioni 100.Biashara ya fumanizi imechangamka sana hasa ukikuta wagoni wana wadhifa. π€£π€£π€£ Mmoja benki mmoja profesa!
Soma kifungu # 72 ya sheria ya ndoa 1971Upo sahihi mama Matrida ana njaa ya pesa, kashachoka umeachwa pita njia ya kushoto
Asisahau kwamba Mwanaume hafumaniwi
Cheti cha NDOA unachopewa KANISANI ni cha SERIKALIKwa vipi serikali iingilie mambo ya ndoa. Nadhani hizi zinapaswa kumalizia kanisani.
Hivi kumbe ugoni unaweza kudai fidia na ukalipwa?
Serikali inakataza kuoa mke mwengine?Cheti cha NDOA unachopewa KANISANI ni cha SERIKALI
Hapo huyo mwanamke wa crdb anaweza akajitetea,mm sijujuwa kama huyu alikuwa mme wa mtuMoney for money... No stress
dronedrakeSababu namba 6800 kwanini usioe.
ππππMtoto wa Kiha hao hawawezanagi na wasomi. Moto lazma utawaka hapo na wakishindwana kisheria shughuli itahamia Kibondo π€£π€£π€£