Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Waha ni watata balaa, ikishindikana wanatumia ndumba. Kuna mmoja ana kesi na mume wake ya kugawana mali, kaloga wee mume amemzidi kete. Anaishia tu kwenda mahakamani mwaka wa 5 na ushee
Nina rafiki yangu muha, na hivi kasoma basi ni mtata balaa. Ndio maana nimecheka sana comment ya mshikaji kuhusu waha.
 
haikatazi,lakini kama ndoa ya kwanza ilikuwa ni ya mke mmoja kama ya kikatoliki,Sheria ya Ndoa,LMA,1971 inakataza kufunga ndoa nyingine,mpaka hapo ya kwanza itakapokuwa imebatilishwa
Database zinazotunza kumbukumbu za watu wanaofunga ndoa hazifanyi kazi au? Yaan ufunge ndoa mara ya pili Serikali isijue? Yaan unapewa kibari cha kufunga ndoa ya Pili huku database inasoma wewe ulishafunga ndoa tena monogamy seriously? Na kibari cha kufunga ndoa mara ya pili upewe? Na ndoa yenyewe ni ya kanisani monogamy? Serikali ni wazembe kiasi hicho?
 
Yes... kwenye cheti cha ndoa, unasema ndoa yako ni ya aina gani; monogamy, polygamy au potential polygamy. Sasa kama ulisema ndoa yako ni ya mke na mme mmoja; ukiongeza mke bila kuvunja ndoa ya kwanza ni kesi hiyo
Alisema wapi ndoa ya mke mmoja? Kumbuka mavyeti ya kanisani na msikitini serikali haizitambui
 
Database zinazotunza kumbukumbu za watu wanaofunga ndoa hazifanyi kazi au? Yaan ufunge ndoa mara ya pili Serikali isijue? Na kibari cha kufunga ndoa mara ya pili upewe? Na ndoa yenyewe ni ya kanisani monogamy? Serikali ni wazembe kiasi hicho?
Serikali wakitaka kukufungisha ndoa wanatoa tangazo mwenye pingamizi, usipotokea wanafungisha
 
Database zinazotunza kumbukumbu za watu wanaofunga ndoa hazifanyi kazi au? Yaan ufunge ndoa mara ya pili Serikali isijue? Na kibari cha kufunga ndoa mara ya pili upewe? Na ndoa yenyewe ni ya kanisani monogamy?
inategemea facts zinasemaje,lakini wajibu wa mlalamikaji ni ku-prove kwamba ndoa yake ilikuwa hai haijavunjwa kisheria wakati ndoa ya huyo wa pili inafungwa,hivyo ndoa ya pili kuwa batili ,yaani,null and void ab initio,then akisha-prove hilo ndo anaweka maombi(prayers) mbalimbali ikiwemo fidia ya hiyo TZS 100M aliyoomba
 
Serikali wakitaka kukufungisha ndoa wanatoa tangazo mwenye pingamizi, usipotokea wanafungisha
Sawa nauliza database za vyeti vya ndoa haipo Serikali ishindwe kuona huyu Prof alishafunga ndoa au alibadirisha Jina?
 
Na kuthibitisha ugoni kazi yake si ya kitoto unless uwafumanie na ushahidi upo. Prof anaweza jitetea kuwa yes kafunga ndoa lakini hakuna ushahidi kama wameingiliana kimwili. Yeye angefungua kesi ya Prof kufunga ndoa juu ya ndoa. Kama ana ushahidi atapata stahiki yake kulingana na uwezo wa Prof.
 
Mambo hayapo kienyeji hivyo,kisheria ukimzalisha au ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke mkiachana yeye thamani yake inakuwa imeshuka tofauti na mwanzo kwahio sheria lazima imlinde.
Thamani ya mwanaume haishuki boss?
 
inategemea facts zinasemaje,lakini wajibu wa mlalamikaji ni ku-prove kwamba ndoa yake ilikuwa hai haijavunjwa kisheria wakati ndoa ya huyo wa pili inafungwa,hivyo ndoa ya pili kuwa batili ,yaani,null and void ab initio
Hapana huwezi funga ndoa bila vithibitisho ya talaka kwa ndoa ya kwanza, sasa km jamaa alifunga ndoa bila uthibitisho wa talaka lawama zote ni kwa Serikali haitunzi kumbukumbu kwenye database za ndoa ili kusudi mtu akitaka kufunga ndoa wanasearch Jina lake je alishawahi kufunga ndoa au la? Je! Km waliachana na mwenzake wana vithibitisho vya talaka? Km vipo ndio anapewa kibari afunge ndoa mpya, kwa hio km aliruhusiwa na Serikali afunge ndoa ya pili huku ndoa ya kwanza ikiwa bado ipo mwenye kulaumiwa hapo ni Serikali kwa kutoa kibari afunge ndoa nyingine wakati ndoa ya kwanza bado ipo, umenielewa

Ndoa hufungifungi tu lazima ukaguliwe ili isije ikaleta sintofahamu uko mbele, sasa huyu Prof alipofunga ndoa ya pili alitumia Jina lipi washindwe kuona km huyu anataka kufunga ndoa tena Ila alishafunga ndoa na haijavunjwa?

Yaan data zote zipo kwenye database, au hakuna database ya vyeti vya ndoa na talaka?
 
Wewe vipi? Misikitini, makanisani, bomani wote ni mawakala wa Serikali wale. Vile vyeti vya Serikali.
Kaka usinibishie nilifatilia bima ya afya ya mke wa broo wakakata cheti cha kidini wanataka cha serikali
 
Nadhani unachanganya huruma na legal status ya ndoa yenyewe,tendo pekee la kufunga ndoa halitoi uhalali kwa ndoa husika bali assumptions za legitimate marriage kama zina exist ndo zinaipa uhalali ndoa ya pili,bila kujali huyo muolewaji alikuwa anajua au la,hili suala ni suala la kisheria zaidi na ushahidi wala siyo la hisia,Hata ndoa ikifungwa kanisani,baadae ikagundulika kuwa vigezo vya ndao halali havikuwepo,hiyo KISHERIA ni sawa na kusema NDOA HIYO ILIKUWA BATILI TOKA MWANZO,NULL AND VOID AB INITIO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…